mie naomba ije halafu tuanze na mamiss then wasanii
Ahahah! Kijana yashakukuta?utaskia "m eighteen" (kwa sauti ya puani) kumbe 28, 10 yote kaiweka pembeni!!
na kweli itakuwa aibu sana .... kila binti yupo eighteen kajitahidi 22
Hahahahahaha ila kuna bidadas wengone wao wanapenda ukubwa...
mmmh hata me kweli sijaona hiyo!!