Hii Ikija Bongo Mbona Tutakimbiana Sana........................!! !!!!!!!!!!

Hii Ikija Bongo Mbona Tutakimbiana Sana........................!! !!!!!!!!!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
Na mabinti wa bongo wanavyojua kudanganya umri sasa sipati picha..!!
attachment.php
 

Attachments

  • Age Reader.jpg
    Age Reader.jpg
    38 KB · Views: 3,347
Hahahaaaa....kumpandisha hapo ndio ishu si unaona anavyogoma
 
Itakua balaa tupu,hawa madada watazikimbia kama ukoma........
dah!sipati picha itakuaje ,maana hawa madada kwa kupunguza umri hawajambo
ladies badilikeni mashine hizi zitawaumbua.

i'm done
 
Hii watakamatwa wadanganyifu wote kama ilivyo kwenye DNA heheheeeeeeee Lol!
 
ni jana tu kuna mdada (hatufahamiani) kaniomba nimsaidie kumtengenezea gmail account ilipofika kipengele cha UMRI akaniambia weka yoyote nitafanya update mwenyewe.

Hahaha!!!! tatizo wasichana hawataki kuonekana wakubwa huku umri umewatupa mkono...
 
HAhahaaha wengi wangeumbuka hasa wadada ndo mabingwa wa kudanganya umri.
 
ila sasa hapo kuna watu hamtaamini miaka yao mana wana maumbo madogo....ikionyesha ana miaka 50....wakati wewe ulikuwa unamkadilia kwenye 30+ itakuwaje...
 
Tutaanza na miss chaga . Chamingirl preta. First lady wengineo
 
Back
Top Bottom