Hii harusi imenishangaza sana

Hii harusi imenishangaza sana

Kiss na mbwembwe kiasi sawa ila ikizidi inakuwa too much harusi ukutanisha watu wengi wazazi wetu na watu wenye heshima zao sasa kudendeka dk5 so what? Ni ushamba mambo ya chumbani kuyaweka hadharani wazazi wanaona aibu. Mkiss mkeo, mlishane kiki kiistaarabu basi.
 
ha ha haaaa,mtoa post...just run away!!!! maana izo commentttttttt.....ha haaaa
 
Tunakoelekea watu watakua wanafanya mapenzi kidogo ukumbini,baada yakuridhika wanaendelea na sherehe,hii dunia inaelekea kubaya,wengine wanaona wasiofanya mambo yanayowapa shida wazazi na watu wa heshima ukumbini wanasema ni ushamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mnaona sawa binti kukatika mauno ya baikoko mbele ya wazazi na wakwe? Na full denda dakika tano. Mnaishi wapi nyie watu?
.
.
Denda la kiasi, na kucheza kwa madaha kiheshima inakubalika.
 
Unashuka hapo down kama mshale unakuelekeza kwenye hicho kipini, unaclick hapo itakudirect kwenye hiyo picha ya pili hapo utachoose file lako la video kutoka kwenye simu yako then unapiga ok una send ikikataa ujue labda network inazingua video isizidi MB 24
c1bcd10f0a4847a8d6e8637089dddbc3.jpg
dc37db62c19088cef2661adac9e620a1.jpg


Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
mbona simple tu

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Nikishachoose picha from gallery pic inakuj lakini sioni sehemu ya kusend badala yake naona edit na save, ukisave sijui hat inaenda wapi, app na web kote nimeshindwa. Anyway thanx nitajaribu tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom