Wapoti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 2,824
- 1,100
tuambie kwanza dhaka na sadaka zinaenda wapi afu ndyo ulete prnpangada zako
Nafikiri zinatumika kujengea kanisa hamlioni lilivyo kubwa na zuri? Sidhani kama anafuja mali yoyote.
tuambie kwanza dhaka na sadaka zinaenda wapi afu ndyo ulete prnpangada zako
Kwa hiyo mnamsafisha kwamba yeye sio mlafi wa sadaka kama wale wengne mfano yule wa ubungo
Mtumishi wa mungu achafuriki wala kuchafuliwa.. unajua LUSEKELO MZEE WA UPAKO anaaishi wapi na anaendesha gari gani?
Hapa naona mimi ni kuwekana sawa tu.
Nani mtoto hapa?unatudanganya kwa pipi
Kwa hiyo wewe GBBS unafurahia kabisa sana Umasikini wa Kakobe?? -------- wewe.... Mimi sio mshiriki lakini sio mara moja ninakuja pale kanisani... Naanza kutiwa shaka...
Analipwa kupiga promo.waumini wamepungua.
Ujue waumini wamepungua sana kwa KAKOBE kwahiyo promo lazima.
mtoto wake Eze kakobe anendesha noah new model na ana video studio yenye vifaa vya kisasa and expensive
Weka hapa ukweli unaoujua wewe.
Unafikiri kila anayeendesha gari, anakuwa ndiye mmiliki wa gari? Eze huendesha magari mengi tu ya watu wengine,lakini hana gari analolimiliki. Yeye ni mahiri katika Video/Computer Technology, na anafanya consultancy za kifundi kwenye taasisi kubwakubwa. Fanya utafiti kabla hujasema!
Kuna wakati alikuwa anawaambia watu kujipamba ni dhambi,
akawavua dhahabu zao shingoni na vikuku vyao miguuni;
......... swali
- Ziko wapi zile dhahabu?
- Na je hizo sadaka mnazotoa ina maana halipwi mshahara?
Vipi kuhusu Mwingira, Gwajima, Lusekelo na Rwakatare, nao wanaishi nyumba za design gani?