Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Kweli kabisa dada.wao na wanaoenda misikitini wacha waliwe,kwa maana wajinga ndio waliwao!
embu nyambua kidogo
Kweli kabisa dada.wao na wanaoenda misikitini wacha waliwe,kwa maana wajinga ndio waliwao!
nailazimisha nafsi yangu kuamini inakataa kabisaa yani imekataa.hiyo kweli ni nyumba yake nakubali ila kwa maelezo kua ndio hiyo hiyo huenda ikawa sikweli.
mmmh!!!! hapo kwenye chopa hapo ????????Lusekelo ana nyumba 23 za maana za wapangaji,ana hoteli 2 mbeya na 2 arusha,ana yard ya magari na ameagiza Chopa 1 toka ujerumani.
Wivu wa kike.Mtumishi wa mungu achafuriki wala kuchafuliwa.. unajua LUSEKELO MZEE WA UPAKO anaaishi wapi na anaendesha gari gani?
Hapa naona mimi ni kuwekana sawa tu.
Huyu jamaa ZK kakosa mvuto na hata waumini
namuuliza mleta Mada hivi miaka ya 1982 pale mtaa wa Msimbai na Swahili aliyekuwa akiuza kanda za casset kwa jina la JOBISO alikuwa sio Zakaria wa Kigoma? km ni yeye basi kuna kupanda na kushuka
na ni nani aliyamtabiria Augustino Lyatonga kuwa Rais wa Inji hii
Ni nani aliyekitabiria kifi CCM mwaka huu
upo ushahidi mwungi wa uonesha ninyi Walokole MNACHEMSHA na hamjui MILFANYALO
![]()
![]()
V![]()
JIBU: Mimi niliwekewa mikono na Askofu Kakobe, na kuwa mchungaji tangu tarehe 3-3-1996 na nimekuwa katika utumishi muda wote hadi mnamo mwaka 2010.
SWALI: Kwa mtazamo wako kuna tofauti yoyote baina ya Kakobe wa wakati ule wewe ukiwa FGBF na Kakobe wa sasa?
JIBU: ukweli ni kwamba, Askofu Kakobe alivyo sasa sivyo alivyokuwa miaka ya nyuma, zamani alizingatia sana Neno la Mungu na kuishi katika mapenzi ya Mungu, na ndio sababu Watanzania na Dunia kwa ujumla ilishuhudia uwepo wa Mungu juu yake, kama vile ishara maajabu na miujiza,
leo hii, neema hiyo kwake imepotea! Amepoteza mwelekeo na kubaki na jina tu la uaskofu lakini kibali cha Mungu hakipo juu yake. Na hii inatokana kupenda pesa zaidi na kupenda sifa au kutafuta utukufu.
Acha kudanganya umma, sadaka zile za kwenye bahasha ya kaki za kila juma pili uwa zinaenda wapi sasa?
nina hisihisi harufu ya uongo....
Kilichoandikwa hapa juu ya Askofu kakobe ni kweli kwa asilimia zote.Kwangu uongo ni mwiko.Una ushahidi usio na shaka ulete hapa.Popote duniani hana nyumba nyingine zaidi ya hii aliyoileta picha hapa.