Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Hilo toto la shule limekosa malezi bora toka kwa wazazi wake, ana kiherere.
Kivipi mkuu? Bado sijaona kosa la dent hapo.
Hilo toto la shule limekosa malezi bora toka kwa wazazi wake, ana kiherere.
Vema ngoja nifanye hivyo , lakini pale stand ya magari magu kuna kituo kidogo cha polisi, sijui niwaunganishe na mchongo huo au nyinyi mnasemaje wakuu?
Dah naona umeme umekatika na movie imeisha
safi sana mkuu ,ila denti kadanganywa kirahisi rahisi namna hii.
Mkuu anatamani kuwa na simu na yeye kama wazazi wanasema anataka kumuacha mke/mume kwa sababu ya kufuja pesa na huyu mtoto anaahidiwa kupata pesa, afanyeje? tunawafundisha watoto wetu kuwa maisha ni pesa na yeye anauchumi atautumia tuu. tubadili mawazo yetu tuwalinde watoto wetu.watoto wa siku hizi nao wamezidi,maadili ni zero.
Sasa sijui ndo anajua amepata kumbe amepatikana, mababu fataki nao wamezidi aaaaaaaah! hata hayaoni aibu.
Kuna uwezekano jamaa akakata utepe.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mkuu wewe mkondo huo haupo kweli nakuona upo bize sana kule jukwaa la chini!
Wana Jf habarini za asabuhi! Najuwa wote hm mmeamka vema kwa ajili ya mishemishe za j3. Nipo kwenye daladala muda natokea Mwanzacity naelekea Magu na nimekaa kiti cha nyuma kabisa. Pembeni yangu kuna bwana mmoja mtu mzima kakaa siti ya dirishani na yupo na mwanafunzi mmoja ametinga uniform anaenda shule na anaonekana kama si form one basi ni form two. Huyu bwana yuko anamsaundisha huyo dent na mazungumzo yapo hivi,.... Jamaa...vipi unaenda shule? ..dent...ndiyo! Jamaa... Unasoma wapi?...dent....Kandawe sec. Mara jamaa akaandika namba ya cm kwenye tiketi na kumkabidhi dent...namba yangu hii nitafute tuongee zaidi...dent..mi sina cm. Jamaa...aah si utaazima hata kwa rafiki yako...dent..wote hawana cm . ...jamaa...basi unaonaje tukapitiliza tukashuke magu na nitakupa nauli ya kurudia kwani mimi naenda magu...dent kainamia siti bila kutoa jibu. Mazungumzo yao yanaendelea ngoja nitawajuza kitakachotokea kama dent a tapitiliza au la,
starring kauwawa nini?