Wakuu lile swala limeiva, nimewatonya polisi na wamenza mchakato wa kulifuatilia na nimewaomba wahakikishe huyo mtoto hadhuriki, mimi naenda kule magu halmashauri nina shida fulani nitarudi hapa polisi post kulifuatilia na nitawajuza...

mkuu hilo suala usingeliachia nusu ,si unajua wewe ndiyo prime witness....ungesimamia show mpaka ujue mwisho wa huyo dent na fataki
SASA WEWE SI UCHUKUE HATUA? ninani unataka achukue hatua kama siyosisi twaweza
mkuu wala usiwe na wasiwasi yule askari amesema atalifanyia kazi,na pia nimemtonya mama fulani hapa ambae ni Katibu wa kinamama wa CCM wako na yule askari wanafuatilia hii movie kwa ukaribu. Namuona jamaa na yule dent wanaelekea kwenye stand ya waendesha bodaboda sijui wanataka kuchukua pikipiki au vipi nitawajuza...bdo nipo kidogo sijaondoka hapo stand.
Hii movie tamu sana, bahati mbaya director anataka kuifupisha...
Wakuu mtoto kakubali kupitiliza kituo cha shuleni kwao hebu mnishauri nifanyeje, mana wanashukia mwisho wa gari nami ndo nashukia hapohapo.