Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,720
- 15,092
safi mkuu --- hawa ccm mimi nafurahi tu wanavotifuana to be fair 🤣, jahazi hili lilizama 2020 na kuligeuza hapa miaka kadhaa inabidi ipite. (labda watumie nguvu mkuu au nasema uongo?)Naunga mkono na mimi huwa niko against na watu wanaosema nchi ingechukuliwa na Venance , si sawa nchi ikiishaingia utawala wa kijeshi basi huwa hairudi kuwa sawa kidemokrasia.
Namuunga mkono kwenye hili la sasa January Samia kujipitisha gizani kwa mkono wa Kikwete na kuwa mgombea pekeyake kwa ule msemo wa "fomu ni moja tu"
Kuhusu kumuamini Polepole mimi ninaamini hayuko pekeyake ila ni mwanzo wa wale waliochukia Samia kujipitisha na yule mzee alipopeleka kesi mahakamani wakamfuta uanchama halafu msajili wa vyama yuko kimya.