Hii Hapa Link ya Polepole Conference

Hii Hapa Link ya Polepole Conference

Mkuu mbona unaonekana kupanic hivi....kwani wengine wakimsikiliza wewe unapungukiwa nini....kama wewe hupendi kumsikiliza basi Acha wanaopenda wamsikilize!!!
Hakuna niliposema sipendi kumsikiliza mkuu wewe bado hujanielewa ila utanielewa akishamaliza kuongea, kwa sasa acha nieche uelewe km ulivyoelewa
 
Kuna mtu ameniambia wamefungia YouTube Tanzania .

Serikali ya huyu bibi mbona waoga hivyo au walijua ataruka live YouTube sasa wameenda kufunga zoom.

Niliingia mwanzoni ila wamejaa Lumumba buku 7 wamewasha mic ni wengi ni kelele tu nikatoka.
 
Hii Nchi imefikia hatua ngumu na inazidi kwenda !!! hivi mahakama ikitoa amri mtu asiongee mnaona hizo ni Mahakama kweli??? Yule Rostam alisema watu wanapigwa simu kisutu wan!mbiwa la kuandika kwenye hukumu.Afrika tuna majitu majinga sana sana
 
Back
Top Bottom