Wahuni wa mama wanashindana na teknolojia.Ni kweli mkuu, nimezima vpn, connection ikapotea...
Wahuni wa mama wanashindana na teknolojia.Ni kweli mkuu, nimezima vpn, connection ikapotea...
kwa motoooooooo kwa moto balaaaaa hahahaahaFomu ni moja -- slowslow agomea
Mimi kwenye pc natoboa bila vpn ila buffering nyingi sana, nimeamua kuiwasha moja kwa moja tuNi kweli mkuu, nimezima vpn, connection ikapotea...
I was not familiar .... ntapiga tathmini mwisho 🤣 mi bado simuamini amini huyu slowslowkwa motoooooooo kwa moto balaaaaa hahahaaha
hahahaha so far so good, sijajua huko mbeleni. Ila seems katumwa na wakubwa wengiI was not familiar .... ntapiga tathmini mwisho 🤣 mi bado simuamini amini huyu slowslow
Hapa kapotea slowslow --- tusingefata katiba ingekuwa majanga zaidi mkuuAnakosoa jinsi Samia alivyoingia kwenye Uraisi baada ya kifo cha magu
Safi sana, anakaanga na kukarangizaAnakosoa jinsi Samia alivyoingia kwenye Uraisi baada ya kifo cha magu
Majanga yepi hayo kuliko tuliyoyapata na tunayoendelea kuyapata sasa?Hapa kapotea slowslow --- tusingefata katiba ingekuwa majanga zaidi mkuu
Katiba kama wangeweza kuipindisha pale 2021 ingekuwa mbaya zaidi.Majanga yepi hayo kuliko tuliyoyapata na tunayoendelea kuyapata sasa?
Slowslow hii meza anatingisha ni hatari sanaDuh kwahio Samia hana uwezo, sifa? duh
Okay.Katiba kama wangeweza kuipindisha pale 2021 ingekuwa mbaya zaidi.
Maoni yangu yanaishia hapa
Naunga mkono na mimi huwa niko against na watu wanaosema nchi ingechukuliwa na Venance , si sawa nchi ikiishaingia utawala wa kijeshi basi huwa hairudi kuwa sawa kidemokrasia.Katiba kama wangeweza kuipindisha pale 2021 ingekuwa mbaya zaidi.
Maoni yangu yanaishia hapa
hatimae mtando haupatikani rasmi kwanguSlowslow hii meza anatingisha ni hatari sana