Hii Hapa Link ya Polepole Conference

Hii Hapa Link ya Polepole Conference

 
Hii Nchi imefikia hatua ngumu na inazidi kwenda !!! hivi mahakama ikitoa amri mtu asiongee mnaona hizo ni Mahakama kweli??? Yule Rostam alisema watu wanapigwa simu kisutu wan!mbiwa la kuandika kwenye hukumu
Sasa hivi yeye ndiyo anapiga simu kisutu na kuwaambia la kufanya
 
Back
Top Bottom