Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Arekodi nini mkuu yaan kwa mfano wewe ulipenda kumsikia akisema nini?Ange record na kusambaza kwenye networks ingekuwa rahisi zaidi.
Arekodi nini mkuu yaan kwa mfano wewe ulipenda kumsikia akisema nini?Ange record na kusambaza kwenye networks ingekuwa rahisi zaidi.
Dah niliacha kwenda kwenye mishe ili nione CCM wakitoana damu, dah nimeumia sana. Naona Dakika ya 75 hii ngoma iko drooAnge record na kusambaza kwenye networks ingekuwa rahisi zaidi.
duhUmetoa link ya uongo kwa faida ya nani?
Same hereYouTube hapa nilipo haifanyi kazi
kimeumana..Same here
Yes, mie hapa imebidi nitumie vpn inafanya kaziMtandao wa Youtube haufanyi kazi kabisa.
Hata mimi 😄😄Yes, mie hapa imebidi nitumie vpn inafanya kazi
Zoom maCCM yameingia na yameacha mike on yanapiga kelele. Polepole hasikiki kabisaNimekutana nayo mahali ila sijajua iko genuine kiasi gani, naona network kwangu iko chinii sana sana
![]()
Join our Cloud HD Video Meeting
Zoom is the leader in modern enterprise cloud communications.us06web.zoom.us
Bona wanatumia nguvu na gharama kubwa kupambana na mtu ambae hana geshi wala asksari polisiHata mimi 😄😄
hakuna kitu cha maana piaWamefunga Youtube
yeye si ndo anacontrol apige mute all --- huyu slowslow nae janja janja tuZoom maCCM yameingia na yameacha mike on yanapiga kelele. Polepole hasikiki kabisa
Na wenyewe wana Kila kitu🤣Bona wanatumia nguvu na gharama kubwa kupambana na mtu ambae hana geshi wala asksari polisi