bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 452
Habari za jioni wapendwa!
Aisee kuna kitu nakiona hakimo kawaida, nina msichana wa pembeni (mchepuko) mara ya kwanza nakutana naye, kitu kililala mazima, mwili ukawa kama umeishiwa nguvu, nimejaribu usiku mzima hakuna mishe asee, siku ya pili ikaamuka kidogo kama sekunde kadhaa mambo yakagoma tena, sasa nikajihisi labda uanaume wa kinondoni umeniandama, lakini nilipofika kwa mama watoto mambo yako sawa tu, nimecheza dakika 90 na magoli ya kutosha.
Nikaamua kumwendea tena mara ya tatu, siku hiyo mambo yalienda sawia tu, tena akawa anahisi labda nimekunywa viagra sababu hakuelewa siku ya kwanza na ya pili ilikuwaje, shida sasa jana nikatoka tena, hali ya kipindi kile imerudi tena yaani haisimami... miguu kama inaisha nguvu, wasiwasi sijui ni nin?
Sasa ni nin tatizo wadau, wazee wa psychology mnaweza mkanisaidia. Haijawahi kunitokea before, hili jambo limenishangaza sana.
Nawasilisha.