Hii hali kuna mtu ishamtokea maana!

Swet-R

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
1,348
Points
2,000
Swet-R

Swet-R

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
1,348 2,000
Ni hofu uliyonayo na unajua wewe hiyo hofu inaanzia wapi? Hakuna kitu kibaya ni hofu tu
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
3,061
Points
2,000
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
3,061 2,000
Hahahaha nimechungulia sana hilo geto asee, sijaona vitu vya kiume, kama ameficha sijui atakuwa kaficha wapi asee...
Aha sawa me nilidhani unapata woga kwakuona nguo zakidume mwenzako
 
thanos

thanos

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
911
Points
1,000
thanos

thanos

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2018
911 1,000
Hii na mimi huwa ina nitokea kwa mademu nisio waamini.. ngoma ina simama kwa shida sana
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
30,109
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
30,109 2,000
Pole sana... una misi misi kama gari iliyokua na tatizo la pump...

Muombe mkeo msamaha... kwa kuchepuka...


Cc: mahondaw
 
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

Senior Member
Joined
Mar 9, 2019
Messages
143
Points
250
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

Senior Member
Joined Mar 9, 2019
143 250
Mkuu huenda unatuficha tu. Hutaki kutuambia ukweli, sengine mama chanja anakuvumilia tu ila ukajifanya mjanja umetafuta mchepuko sasa una aibika. Unakiona chamoto. Rudi nyumbani kumenoga😃
 
Chapakila

Chapakila

Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
92
Points
150
Chapakila

Chapakila

Member
Joined Feb 12, 2018
92 150
Punguza wenge, mawazo, fegi, zingatia tizi.
Thank me later
PS: tunza heshima kwa mkeo wekeza nguvu kwa mchepuko nawew utakaziwa mkeo kisawa sawa.
 
B

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
442
Points
250
B

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
442 250
Mkuu huenda unatuficha tu. Hutaki kutuambia ukweli, sengine mama chanja anakuvumilia tu ila ukajifanya mjanja umetafuta mchepuko sasa una aibika. Unakiona chamoto. Rudi nyumbani kumenoga😃
😂😂😂🤣🤣🤣 Mkuu mama chanja anaijua shughuli yangu asee, hata huyu mchepuko siku yenyew dude limekubali kama nilivosema alifikir nimetia Viagra asee wakat hata sizijuia rangi zake asee. Mama chanja namheshim sana mkuu, basi tu kujifanya vidume.
 
B

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
442
Points
250
B

bujaganoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
442 250
Pole sana... una misi misi kama gari iliyokua na tatizo la pump...

Muombe mkeo msamaha... kwa kuchepuka...


Cc: mahondaw

Dah, nitaanzanje baharia mwenzangu, si ugomvi huo, yaani nichomoe betri huku najua Tank limejaa Petrol mkuu, kuwa serious, hapa napiga tease tu kujipa moyo 😁🙂
 
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

Senior Member
Joined
Mar 9, 2019
Messages
143
Points
250
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

Senior Member
Joined Mar 9, 2019
143 250
😂😂😂🤣🤣🤣 Mkuu mama chanja anaijua shughuli yangu asee, hata huyu mchepuko siku yenyew dude limekubali kama nilivosema alifikir nimetia Viagra asee wakat hata sizijuia rangi zake asee. Mama chanja namheshim sana mkuu, basi tu kujifanya vidume.
Hhaha basi kuna shida mahali inabidi uchunguze mkuu😂
 
Muuza simu used

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Messages
2,025
Points
2,000
Muuza simu used

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2017
2,025 2,000
Hiyo ni dalili ya ushoga mkuu,chukua hatua mapema
Habari za jioni wapendwa!

Aisee kuna kitu nakiona hakimo kawaida, nina msichana wa pembeni (mchepuko) mara ya kwanza nakutana naye, kitu kililala mazima, mwili ukawa kama umeishiwa nguvu, nimejaribu usiku mzima hakuna mishe asee, siku ya pili ikaamuka kidogo kama sekunde kadhaa mambo yakagoma tena, sasa nikajihisi labda uanaume wa kinondoni umeniandama, lakini nilipofika kwa mama watoto mambo yako sawa tu, nimecheza dakika 90 na magoli ya kutosha.

Nikaamua kumwendea tena mara ya tatu, siku hiyo mambo yalienda sawia tu, tena akawa anahisi labda nimekunywa viagra sababu hakuelewa siku ya kwanza na ya pili ilikuwaje, shida sasa jana nikatoka tena, hali ya kipindi kile imerudi tena yaani haisimami... miguu kama inaisha nguvu, wasiwasi sijui ni nin?


Sasa ni nin tatizo wadau, wazee wa psychology mnaweza mkanisaidia. Haijawahi kunitokea before, hili jambo limenishangaza sana.

Nawasilisha.
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
27,298
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
27,298 2,000
Unamkosea mkeo, michepuko iachie ma bachelor
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,892
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,892 2,000
Mkuu huyu ni mlokole wa kutupwa, hata kunusa najua hawezi asee.... hili tatizo ni mim mwenyew tu, ndio maana nashangaa sana
Hao ndio wabaya zaidi...wanaficha maovu yao kwa kigezo cha iman
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
14,723
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
14,723 2,000
Unataka kushirikishwa jinsi ya kutekeleza upumbavu.
 
Hon Nkundwe

Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Messages
3,101
Points
2,000
Hon Nkundwe

Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2014
3,101 2,000
Hii na mimi huwa ina nitokea kwa mademu nisio waamini.. ngoma ina simama kwa shida sana
Hii hali ni nilifikiri ni mimi tu mimi demu nisiye muamini dakika 5 chali
 
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,966
Points
2,000
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,966 2,000
Hana mume brother! Mtoto mbichi na wa kishua kabisa sijui shida inanipata nin! Inaniuma sana kumkosa
Tulia na mkeo acha ujinga!
Big up kwa mkeo!aendelee hivohivo
 

Forum statistics

Threads 1,326,596
Members 509,543
Posts 32,227,636
Top