Hii hali kuna mtu ishamtokea maana!

Hii hali kuna mtu ishamtokea maana!

katika ulivovitaja ukitoa jini mahaba, vingine vyote vinaweza vikawa ni sababu.
Na hii ya kujistukia inaweza ikawa kitu kikubwa, maana sikuamini kama nimempata, mtoto anagombaniwa na Ofisi nzima, ila kanivulia kyupi ... au ndio ka mchezo kake. In short Ofisin wanakataman sana, sema kagumu hatar...


Hapa penyew first meeting ilibid nijipange!
 
Hofu ya kuchepuka.

Ni kama huamini amini vile kwamba daah! hivi ni kweli kwamba huyu ke kanivulia chuppi!!!!!!!!!!!!
 
Habari za jioni wapendwa!

Aisee kuna kitu nakiona hakimo kawaida, nina msichana wa pembeni (mchepuko) mara ya kwanza nakutana naye, kitu kililala mazima, mwili ukawa kama umeishiwa nguvu, nimejaribu usiku mzima hakuna mishe asee, siku ya pili ikaamuka kidogo kama sekunde kadhaa mambo yakagoma tena, sasa nikajihisi labda uanaume wa kinondoni umeniandama, lakini nilipofika kwa mama watoto mambo yako sawa tu, nimecheza dakika 90 na magoli ya kutosha.

Nikaamua kumwendea tena mara ya tatu, siku hiyo mambo yalienda sawia tu, tena akawa anahisi labda nimekunywa viagra sababu hakuelewa siku ya kwanza na ya pili ilikuwaje, shida sasa jana nikatoka tena, hali ya kipindi kile imerudi tena yaani haisimami... miguu kama inaisha nguvu, wasiwasi sijui ni nin?


Sasa ni nin tatizo wadau, wazee wa psychology mnaweza mkanisaidia. Haijawahi kunitokea before, hili jambo limenishangaza sana.

Nawasilisha.
Muheshimu mkeo acha kumpotezea muda mwanamke ili apate mwenzake wa kuoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom