Hii hali kuna mtu ishamtokea maana!

bujaganoni

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
561
452
Habari za jioni wapendwa!

Aisee kuna kitu nakiona hakimo kawaida, nina msichana wa pembeni (mchepuko) mara ya kwanza nakutana naye, kitu kililala mazima, mwili ukawa kama umeishiwa nguvu, nimejaribu usiku mzima hakuna mishe asee, siku ya pili ikaamuka kidogo kama sekunde kadhaa mambo yakagoma tena, sasa nikajihisi labda uanaume wa kinondoni umeniandama, lakini nilipofika kwa mama watoto mambo yako sawa tu, nimecheza dakika 90 na magoli ya kutosha.

Nikaamua kumwendea tena mara ya tatu, siku hiyo mambo yalienda sawia tu, tena akawa anahisi labda nimekunywa viagra sababu hakuelewa siku ya kwanza na ya pili ilikuwaje, shida sasa jana nikatoka tena, hali ya kipindi kile imerudi tena yaani haisimami... miguu kama inaisha nguvu, wasiwasi sijui ni nin?

Sasa ni nin tatizo wadau, wazee wa psychology mnaweza mkanisaidia. Haijawahi kunitokea before, hili jambo limenishangaza sana.

Nawasilisha.
 
Sometimes you body,kwnyw mfumo wa kujilinda inakupa ishara "this is a wrong woman" ,kaa nae mbali,ukiforce sawa.
 
Hofu, msongo wa mawazo na uwoga.... Ukiwa na hivyo vitu yaani ata uwe na mke wako wa ndoa ngoma haisimami ng'ooo.... We relax tu mzee... Ila kama hali ikizidi muone daktar
 
hahhahaha kuna dem nilikua nae lodge for the first time. sasa nimefika nikaingia kuoga nilipotoka kuchek dem mapozi aliyokaa stim zikakata palepale nikashika simu then nikamwambia nimetumiwa text natakiwa home haraka, nikampa cash yake nikasepa. Dem kavua nguo zote then kalalia mgongo then miguu ameinua juu huku kajitanua, nikaona huyu ni malaya 5G.
 
Hofu, msongo wa mawazo na uwoga.... Ukiwa na hivyo vitu yaani ata uwe na mke wako wa ndoa ngoma haisimami ng'ooo.... We relax tu mzee... Ila kama hali ikizidi muone daktar
Hawa madaktar wa Bongo si ndio wanakuongezea ugonjwa asee, sidhani kama nilikuwa na uoga, labda wasiwasi, hofu, bahati mbaya sana mwanamke nafanya naye kazi, yaani ndio kabisaa
 
Mwanasaikolojia;-
Hujiamini, una hofu, una mchecheto sana (huenda hujawahi kuvuliwa nguo na mwanamke mzuri kama huyo)

Kalumanzila;-
Huyo mchepuko ana jini mahaba (halikubali ulinyang'anye kitoweo chake)

Maandiko;-
Matokeo ya uzinzi (huenda mama watoto anamwomba sana Mungu akuepushe na michepuko sababu anajua namna wanavyoweza kusambaratisha ndoa na familia)

Wahenga;-
Huenda kuna kitu kikubwa na kibaya unaepushwa nacho (ugonjwa, kuolewa, kusambaratisha familia n.k)

Wauzaji wa Mundende;-
Una upungufu wa nguvu za kiume.

Mimi;-
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa" Mithali 6: 32.

Nb;-
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Hahahah dah, huu ushauri japo umekaa kinafiki nauchukua
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom