Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,734
saana ilikuwa inauzwa laki tatu
hata mimi nlivotoka n70 ndo kuingia android..2.3.1View attachment 359636N70 hiyo kuelekea mapinduzi ya android
motorola tatizo lao ilikuwaga betriNokia N- Series zilitingisha sana!! Mambo ya infared tena...
Hata Nokia 6230 ilibamba sana! Hivi motorola L6 aka motorola chapati nazo zilifia wapi?
Kuanzia mwakani, Nokia naye anahamia kwenye android.Ila android kaiweza Nokia aisee
Hii kitu ilikuwa na GB 8View attachment 359636N70 hiyo kuelekea mapinduzi ya android
Tanzania leading cellular networkKipindi hicho natumia voda yenye msemo "mtandao unaongoza tanzania " a.k.a Tanzania leading network. Walikuwa na logo ya blue... Na vocha za karatasi hadi mia unapata vocha a.k.a tuliita dola. Sio siku hizi siasa tu eti "hapa kasi tu" shame on them
Ndio nakubaliana na wewe ila siku si nyingi nilipata habari kua nokia wameachana na Gets na wanataka waanze kukifueua kiwandachaoupya tuwangoje tuoneMmh sasa umenipinga lakini bado umekubaliana na nilichoandika. ..By the way Nokia wenyewe nadhani ni last year walikiri kupigwa bao kwa sababu mbali mbali
Duh?Hiyo Nokia 6600 pale kariakoo kuna duka inauzwa laki mbili, mimi nikashangaa kwa nini inauzwa bei hivyo wakati hata 3G haina na sio hiyo tu zipo nyingi Nokia Symbian zinazouzwa bei juu unapata mpaka N-Gage, tatizo bei ndo ipo juu. Maana nilikuwa nazitafuta Nokia 701 na N9
Hujaiona nokia x&xl ni android?Kuanzia mwakani, Nokia naye anahamia kwenye android.
www.phonerotica.comRaha ya nokia ulikuwa uki hold "0" inafunguka ktk browser na ku launch homepage. Je unataka kujua homepage yangu ilikuwa mtandao gani?
Haha labda top 1000 tanania duniani? Tunawatu nanafopoa kila waki vuta pumziActually Ni 6600 Baba Yang Alikuwa Nayo When I Was Eleven Au Kitu Kama Hicho Ndio Ilikuwa Mara Ya Kwanza Kuona Camera Kwenye Simu And I Thought It Was Gimmicky,,,why A Camera On A Phone,,,lakini Leo Mie Nimo Top 100 Ya Wapiga Selfie Dunian
Ndo mtandao gani huo
Mkuu bado tunasubiria mrejesho wa yale mambo yako na mke wako yule aliekuambia kuwa atato*bwa hadi kiherehere chako kiishe!! Harakisha huo mrejesho please!!Hello Motto! [emoji445]