Hii dhana ndiyo inayotufanya sisi watu weusi tuendelee kuwa dhaifu

Ni kweli kabisa uko sahihi! kwa sababu hiyo umekusudia kuropoka tu! na ndo nature yako ....
Hapana sijaropoka bali nimeweza kujua baba ako ni mtu wa aina gani kupitia wewe mwanae, wewe ni aina ya watoto ambao siku zote Kamanda Sirro amekuwa akiwahusia wazazi wasizae watoto aina kama yako.
 
Huyo kamanda wako pia kilaza kama wewe kwa hiyo una mnukuu kilaza mwenzio hiyo ni kawaida yenu! bado unazidi kuropoka zaidi! pole sana! ni ujuha wa kizamani sana kumjua babangu halali ki hivi! sababu unaweza kumkashfu hata Baba yako!
 
Hapana sijaropoka bali nimeweza kujua baba ako ni mtu wa aina gani kupitia wewe mwanae, wewe ni aina ya watoto ambao siku zote Kamanda Sirro amekuwa akiwahusia wazazi wasizae watoto aina kama yako.
Kama mie muongo muulize Mama yako! kuwa baba yako ni nani? achana na yule aliye kulea!
 
Sina shida ya kuuliza kuhusu baba yangu ni nani, wewe tambua tu kwamba kuwa wewe ndio aina ya watoto wa hovyo ambao Kamanda Sirro anahusia wazazi wasizae mitoto ya hovyo kama wewe. Sasa baba yako kwa sababu ni kilaza ndio matokeo yake kazaa toto la hovyo.
 
Nimekuuliza nikasome nini huko darasani maana elimu pana na haina mwisho, sasa niambie ni kipi ambacho nikajifunze huko darasani?
UNA kazi sana wewe!! yaani hata huko utasumbua waalimu tu! kalime kwa sururu ndo kuna kufaa!! kwa sababu mie nime kuonyesha njia ya kufanya buuuureee!! nishukuru! sasa hayo madai mengine yana tokea wapi tena?

Unashindwa hata kujiongeza? sikia dogo wewe Nenda Mitaala utaikuta kule!!.... unasikia? hujui manake uliza kule kule! kuna elimu inyoendana na kichwa chako wataalamu watakusaidia, huko huko! ....ila humu JF,

utahangaika sana na hutapata dawa ! humu ni akili Mingi tupu! tumejaa Ma- idealistics mwanzo mwisho! tuna vikao vyetu maalumu, sasa wewe Bush star ebu taja number ya kikao hata kimoja ulichowahi hudhuria! na lazima wewe utakuwa Wa mkoa tu!
 
Nimekuuliza swali dogo tu umeanza kutokwa mapovu, nilijua huwezi kujibu hilo swali maana umekariri tu kusema rudi shule sijui darasani kama wengi humu mlivyo.
 
Tatizo la kata!! siyo kila mtu ni mtanzania! unatamani uarabu uliofanya babu zako vibaya!! watakuona kafir tu!! km amekuja na hoja nyingine mbona unamjibu? uoni kuwa hujui kuwa hujui?
Utatumia IDs zote kuonesha upumbavu wako... Ungeuficha.😁😁😁😁
 
Upumbavu kama unavousema ni jibu rahisi kwa hoja ngumu! huniwezi dogo kaulizie wakubwa zako! afu ndo uje! hii level nyingine ungekuwa na akili usinge thubutu kukakashfu kitoto ivi!
 
Sina shida ya kuuliza kuhusu baba yangu ni nani, wewe tambua tu kwamba kuwa wewe ndio aina ya watoto wa hovyo ambao Kamanda Sirro anahusia wazazi wasizae mitoto ya hovyo kama wewe. Sasa baba yako kwa sababu ni kilaza ndio matokeo yake kazaa toto la hovyo.
Unamsifia Sirro? unamponda Baba yangu ni kilaza najua una maumivu! mie nilitaka kujua tu!! uhalali wa kumjua vizuri ivo my father! aliiingiaje hapa kuuumbe daaa! Mama yangu mdogo? shikamoo Mama sikujua! hadi unajua ni baba yangu halali? kazi kwelikweli!

twambie hapa amekupiga kibuti ?! au alikunyima hela? any way ujumbe umefika kwa Mama wee subiri tu! hapohapo usiondoke! kumbe wewe ndo unamfilisi babangu! leo umehamia kwa kwa siro mbaya wa babangu sio?! tata Mura siro!! kuuuumbe ndo ivi?!
 
Sasa niwe na shule ya nini? Mimi nina nyumba njoo ulale.
Mkuu samahani sana bana mie siyo Basha! wala hata sijawahi kufanya hivo! ila kama una kabinti miaka 16 hivi sawa! asa Baba kaja hapo namie tena unanitaka daaa!
 
Unamsifia Sirro? unamponda Baba yangu ni kilaza najua una maumivu! mie nilitaka kujua tu!! uhalali wa kumjua vizuri ivo my father! aliiingiaje hapa kuuumbe daaa! Mama yangu mdogo? shikamoo Mama sikujua! hadi unajua ni baba yangu halali? kazi kwelikweli!

twambie hapa amekupiga kibuti ?! au alikunyima hela? any way ujumbe umefika kwa Mama wee subiri tu! hapohapo usiondoke! kumbe wewe ndo unamfilisi babangu! leo umehamia kwa kwa siro mbaya wa babangu sio?! tata Mura siro!! kuuuumbe ndo ivi?!
Unazidi kuonesha kuwa wewe ni toto la hovyo,kamanda sirro yupo sahihi sana.
 
Upumbavu kama unavousema ni jibu rahisi kwa hoja ngumu! huniwezi dogo kaulizie wakubwa zako! afu ndo uje! hii level nyingine ungekuwa na akili usinge thubutu kukakashfu kitoto ivi!
Tulia andika vizuri... Unapapatika sana...tulia....
 
Sometimes huwa nafikiria tusingweza kufika hata hapa tulipo kama tusingetawaliwa. Sisi watu weusi, ni weusi pia kwenye akili. Nadhani bara hili la Afrika liliumbwa kwa ajili ya vivutio tu ili binadamu "weupe" wawe wanakuja kutembelea.
Sisi kama tusingetawaliwa tungekua kama wanyama tu waporini. Ustaarabu wa kujisitiri miili yetu umeletwa na haohao wazungu, kila kitu tunachokitumia pamoja na technology zake zimetoka kwao. Hatuna cha kujivunia zaidi ya pumzi tuliyopewa na Mwenyezi Mungu.
Angalia mtu mweusi popote pale duniani, anahisi anaonewa yeye tu, tena hajiamini, ni mtu wa kujipendekeza, yupo tayari kuua mweusi mwenzie kulinda maslahi ya mtu mweupe. Wenyewe kwa wenyewe tunabaguana sana.
Vurugu za South Africa zinafanywa na watu weusi tu. In short hakuna cha kujisifia. Tupo tu.
Kwa kweli ukimuongelea mtu mweusi, unaweza ukajaza vitabu vingi sana vinavyozungumzia ujinga na upumbavu wake kuliko mazuri yake.
 
Ni kwa sababu mtu mweusi hana vitu vya kuficha huo ujinga na upumbavu wake tofauti na watu weupe, wao ujinga na upumbavu wao unafichwa na hayo maendeleo yao kiasi kwamba unaweza kufikiri ndio binaadamu wenye utofauti na wengine.

Hata katika maisha yetu ya kawaida jinsi yatakavyochukulwa makosa ya mtu mwenye uwezo ni tofauti na mimi nisiye na kitu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom