musacha
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 185
- 139
Hizi make up sometimes zinawaharibu sana. Kwa mfano hiyo picha ya kwa anaonekana mrembo kuliko hii ya pili.Duniani wawili wawili.
Kati ya vilivyoumbwa vya kufanana basi Brother Gambo na mke wake wanafanana.
Big up kaka nahisi hata genes zenu na mambo mengine mnaendana pia.
![]()
![]()