Hii Couple ya RC Gambo ni kiboko...Wanafanana!!

Acha kumsingizia dada wa watu hafanani hata kidogo na jaamaa we huyu sio wa kawaida eti
 
Ni wazuri kwa kweli hasa kale ka kike jamani kazurii
d54f9e476627f78a9068971b8b69314c.jpg
 
Mungu alisema atatupa wa kufanana na sisi! Big up Gambooo
 
Yeah hata mimi naamini katika usemi huo..Mungu anakupa wa kufanana nae....
Just like me and my hubby tumefanana kila sehem tukienda.mpk kazini kwake wanamwambia huyu mkeoo mdogo wako c kwakufanana huko

Let love lead[emoji13]
 
Tuko kwenye maombolezo tuondolee upuuzi huu, wakifanana so what!
 
Yeah hata mimi naamini katika usemi huo..Mungu anakupa wa kufanana nae....
Just like me and my hubby tumefanana kila sehem tukienda.mpk kazini kwake wanamwambia huyu mkeoo mdogo wako c kwakufanana huko

Let love lead[emoji13]
so nae ni tofali just like you?
 
Back
Top Bottom