permist
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 654
- 414
Kafaje mbona hamsemi wengine Vegetarian tukiona minofu inatupa shida,kachijwa au kapondwapondwaRoho inaniuma jamani Baba wa watu kafa vibaya😭 may his soul Rest in peace. Wasomali washenzi😭😭
Basi bora hata iwe hivyo basi!Edited. Ukitaka kuamini iangalie kwa makini anapopigwa risasi
1.Risasi ya kichwa ila analala na kujinyosha
2. Hafurukuti kuonyesha kuwa brain connection imekuwa disturbed.
3. Anaongea kwa ufasaha kana kwamba amepigwa risasi ya mguu ujue ubongo una control mpaka speech.
Ilikuwa ni njia ya kutuma ujumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Video iko kwenye format ya mp4 inagomaje. Kama umeidownload na imeshidwa kuplay, weka email address nikutumie
Kwahyo akisha saini kufa ndo simanzi isiwepo??? Kwani nyie vipi ....kuna wanajeshi ambao wamepitia saini za vifo lakini wamestaafu vizuri....kuingia saini ile sio kwamba ndo lazima ufe .ukifa ndo bahati mbaya lakin lazma serikali itake care about wanajeshi ndomana ikitokea wamekufa vitani matanga yanakuepo.....ila inaelekea naww mkuu una roho ya kikatili kuanza kuzungumzia saini alizoingia utadhan watu wametoa lamawa kumbe wamesikitishwa....acha mihemko mkuu jamaa kaongea ukweli ambao masikio yako hayataki kusikia, askari amesaini kufa akiitetea nchi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
tukienda inbox ndio utajua pa kuzipataHizo savanna ntazikuta inbox?![]()
Rufiji, Kibiti na Amboni Tanga hakukuwa na magaidi ule ni mchezo wa siasa tu. Huo mchezo unaitwa tengeneza tatizo halafu litatue, gaidi siri zao kama jasusi mpaka washambulie ndio huwaona wakijisifu.
Ndukiiiii![]()
Wewe nafikiri unachembechembe za kigaidi...Rufiji, Kibiti na Amboni Tanga hakukuwa na magaidi ule ni mchezo wa siasa tu. Huo mchezo unaitwa tengeneza tatizo halafu litatue, gaidi siri zao kama jasusi mpaka washambulie ndio huwaona wakijisifu.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Rufiji, Kibiti na Amboni Tanga hakukuwa na magaidi ule ni mchezo wa siasa tu. Huo mchezo unaitwa tengeneza tatizo halafu litatue, gaidi siri zao kama jasusi mpaka washambulie ndio huwaona wakijisifu.
Ndukiiiii![]()