Hii clip imenitia simanzi Sana

Hii clip imenitia simanzi Sana

Mhhhhhhhhh, cjui kwa nn nmeifungua hyo clip, yaan hapa mpaka mood ya kula imekata!!!
Jmn ila haya mambo haya! Mbinguni tutakusikia tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
clip inatia hasira na sio kusikitisha. Ai wishi ai kud be IGP wa Kenya, no retreat nikuwafutilia mbali magaidi wote.
Wanatafuta tu kumchonganisha rais Uhuru na wakenya, kana kwamba yeye ndio chanzo cha mateso kwao.
Ipo siku hata somalia wataikimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijeshi kitendo cha kwenda kinyume na maagizo ya Amiri Jeshi Mkuu ni kosa na ni usaliti kwa Taifa. Pamoja na kutekwa na pengine kuteswa sana, lakini hakupaswa kusema au kuonyesha kwamba nchi yake ilikosea kupeleka wanajeshi Somali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ila huwezi jua alichofanyiwa kabla ya kufikia hatua ile,,,,,, lakin hata yale maneno ukimuangalia ni kama yaliandaliwa hivi ili mradi tu watimize nia yao na kuna uwezekano angesema tofauti hata video wasinge itoa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rufiji, Kibiti na Amboni Tanga hakukuwa na magaidi ule ni mchezo wa siasa tu. Huo mchezo unaitwa tengeneza tatizo halafu litatue, gaidi siri zao kama jasusi mpaka washambulie ndio huwaona wakijisifu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Acha bange wewe jamaa na akili zako za ufipa
 
Mm nidhan anachinjwa kutokea nyuma ya shingo , kumbe ni pistol tyuu tyuu yuu! BTW Kenya watoe jeshi lao huko Somalia! Halafu Mhe JPM apeleke wanajeshi wetu Somalia, Yan tufanye exchange na Wakenya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom