Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,752
- 21,974
kuwa na moyo wa kiume! haya ndiyo hutokea kwenye mapambano, hapo wameshachukua siri na kummaliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa na moyo wa kiume! haya ndiyo hutokea kwenye mapambano, hapo wameshachukua siri na kummaliza.
Hajanyofolewa viungo, ila jinsi alivyokua anaongea mbele ya kamera, na jinsi amekaa chini kusubiri kifo chake.
Hivi aliyekudanganya kuwa ukipigwa risasi ya kichwa unatapatapa Ni Nani?..Edited. Ukitaka kuamini iangalie kwa makini anapopigwa risasi
1.Risasi ya kichwa ila analala na kujinyosha
2. Hafurukuti kuonyesha kuwa brain connection imekuwa disturbed.
3. Anaongea kwa ufasaha kana kwamba amepigwa risasi ya mguu ujue ubongo una control mpaka speech.
Ilikuwa ni njia ya kutuma ujumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi aliyekudanganya kuwa ukipigwa risasi ya kichwa unatapatapa Ni Nani?..
Halafu hyo sauti uliyoisikia ni kabla hajapigwa risasi....
Kilichokuchanganya Ni kudondoka kwako kabla ya mlio wa bunduki...
Utambue kwamba bunduki hutoa sauti pale risasi inapokuwa imeshatoka na kufikia mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa sio kila risasi inakurusha inategemeana na silaha na silaha..Sihangaiki na mlio.
Kama ni professional hutakaa usumbuke nani amekuambia ukipigwa risasi unaanguka softly
Lakini pia bado umekiri kuwa edited maana umesema ile sauti ilirekodiwa kabla ya kupigwa risasi.
Labda sema akawa poisoned na ku colapse.
Hii sasa ni sawa na hizi movie zetu kuwa
Mtu anapigwa risasi full magazine akiwa anaendesha pikipiki anaenda zaidi ya mita 20 anapaki pikipiki kwenye mti halafu anakufa kwa kupigwa risasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Imategemea na uelewa wako juu ya hii kitu ubongo na utendaji wake.Jombaa sio kila risasi inakurusha inategemeana na silaha na silaha..
Unaona kabisa kichwa kimefumuliwa unasema edited!???
Halafu unatakiwa ujue kuwa kuna umbali na umbali ambao Mpigaji akisimama basi mpigwaji unaweza kuomba hata maji ya kunywa..
Kwa silaha hyo bastola Mpigaji angesimama walau mita 10 au 15 huyo askari angegalagala lakn kwa umbali huo huwez kugalagala...
Na aliyekuambia alshaabab wanafanya acting Ni Nani?
Kama wanaua ndani ya Kenya yawezekana kufanya acting kwa mateka??!
Shirikisha ubongo sio ubishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sauti ninayoisema mm Ni ile inayojirudia akiwa amelala chini...Imategemea na uelewa wako juu ya hii kitu ubongo na utendaji wake.
Hivi nikuulize mfano unakatwa kichwa at par je miguu na mikono haiwezi kuwa na movement yoyote?
Ila umekiri iko Edited japo kwa kuandika unakataa huku ukikubali ile sauti imeingizwa maana ameingea kabla hajauawa. Hoja ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkonoEdited. Ukitaka kuamini iangalie kwa makini anapopigwa risasi
1.Risasi ya kichwa ila analala na kujinyosha
2. Hafurukuti kuonyesha kuwa brain connection imekuwa disturbed.
3. Anaongea kwa ufasaha kana kwamba amepigwa risasi ya mguu ujue ubongo una control mpaka speech.
Ilikuwa ni njia ya kutuma ujumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
PeriodSauti ninayoisema mm Ni ile inayojirudia akiwa amelala chini...
Labda nikuulize ili nijue nabishana na mtu wa Aina gani....
Ktk maisha yako ya kawaida ushawahi kuona live mtu akiuwawa kwa kupigwa risasi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila unafaham maana halisi ya methali " kuzidiwa kubaya"?Kijeshi kitendo cha kwenda kinyume na maagizo ya Amiri Jeshi Mkuu ni kosa na ni usaliti kwa Taifa. Pamoja na kutekwa na pengine kuteswa sana, lakini hakupaswa kusema au kuonyesha kwamba nchi yake ilikosea kupeleka wanajeshi Somali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nenda YouTube halafu andika kwenye search:- who start terroristWewe nafikiri unachembechembe za kigaidi...
Hivi umewahi kuwaona hao magaidi kwenye tv wakioneshwa wamekamatwa? Vile vipolo vya maiti baada ya nchi za nje kusema watakuja kuleta wapelelezi mbona ilisimama hafla? Serikali mbona inakataa wapelelezi wa nje kuhusu Lissu na Mo Dewji? Chatu hakumezi mpaka akuzunguke na kuanza kukumeza kidogo dogo.Nyamaza acha kuropoka usiyoyajua, yaani watu makumi wafe hasa kibiti bado unadai ilikuwa siasa? kwa manufaa yapi sasa! hebu kuweni na breki kwenye ndimi zenu, askari polisi na raia wameuliwa wewe unapotosha wenzio?
Sent using Jamii Forums mobile app
SinemaNmefikiria huyo askari alikuwa ktk Hali gani View attachment 1001060
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hii imejaa wajinga wengi sana mmoja ni ww .Rufiji, Kibiti na Amboni Tanga hakukuwa na magaidi ule ni mchezo wa siasa tu. Huo mchezo unaitwa tengeneza tatizo halafu litatue, gaidi siri zao kama jasusi mpaka washambulie ndio huwaona wakijisifu.
Ndukiiiii♂️
♂️
♂️
Nmefikiria huyo askari alikuwa ktk Hali gani View attachment 1001060
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nataman nielezee mengi lakn acha yapite tu..... PHawa sio Alshaabab na hilo sio tukio halisi limetengenezwa tu.
How comes adui anatoa advice kwa watu anao pigana nao " kambi yenu ikivamiwa bora mkimbie" The real Alshaabab would prefer to find you at the same place in large number so that they kill.as many people as they can . So.how comes huyu jamaa anawashauri wakimbie.
Kingine umewahi kuona wapi MTU anapigwa risasi hafurukuti.
Hata bata akipigwa manati ya kichwa huwa anakufa kwa kufurukuta sembuse binadamu kupigwa risasi ya kichwa
I think.hii ni kampeni kumshawishi Uhuru atoe majeshi Somalia.
So.wanangu msisikitike sana.wakati baba yenu nipo
Halaf iweje we barakaMm nidhan anachinjwa kutokea nyuma ya shingo , kumbe ni pistol tyuu tyuu yuu! BTW Kenya watoe jeshi lao huko Somalia! Halafu Mhe JPM apeleke wanajeshi wetu Somalia, Yan tufanye exchange na Wakenya!
Sent using Jamii Forums mobile app