Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
, hamna Mama Sabrina! Hawawezi kuja huku maana intelegensia yetu na jeshi letu liko imara 100%Weeeeeeeeeeeee tema mateeee asubutuuu, hamna Mama Sabrina! Hawawezi kuja huku maana intelegensia yetu na jeshi letu liko imara 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu mmejaliwa ubishi yaani unaweza kubishi hata Tshekedi sio raisi wa DRCEdited. Ukitaka kuamini iangalie kwa makini anapopigwa risasi
1.Risasi ya kichwa ila analala na kujinyosha
2. Hafurukuti kuonyesha kuwa brain connection imekuwa disturbed.
3. Anaongea kwa ufasaha kana kwamba amepigwa risasi ya mguu ujue ubongo una control mpaka speech.
Ilikuwa ni njia ya kutuma ujumbe
Sent using Jamii Forums mobile app