Hii clip imenitia simanzi Sana

Hii clip imenitia simanzi Sana

Rufiji, Kibiti na Amboni Tanga hakukuwa na magaidi ule ni mchezo wa siasa tu. Huo mchezo unaitwa tengeneza tatizo halafu litatue, gaidi siri zao kama jasusi mpaka washambulie ndio huwaona wakijisifu.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hujui unalolisema.. Umekaa na kukisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha bange wewe jamaa na akili zako za ufipa
Wewe genius wa lumumba CCTV ya Tanzania na ya Kenya ipi ipo safi kwanza. Akikamtwa jambazi anaoneshwa kwenye luninga lakini gaidi inakuwaje?? Hata wale wa uamsho hakuna ushahidi zaidi ya kuwaonea tu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom