Hii carina ina shida gani?

Hii carina ina shida gani?

Mkuu hilo tatozo niliwai kumbana nalo nikahis betr imechoka nikanunua nyngine wap.wafungue stater wasafishe tu tatizo lajo litakuwa safi.coil,plugs na hizo waya za plug ingeleta miss na si hiyo hali unayosema

Kabisa mkuu unaweza kubadili betri zaidi ya mara mbili.
 
Kagua fuel pump, ipo kwenye tank la mafuta (petrol), kagua fuel filter.

Kagua spark plug zote, kagua lead wire zote.

Kagua na coil (distributor), pia kagua firing order.

Ukifanya hayo yote utagundua tatizo, rekebisha.

NB: Jenga tabia ya kujaza mafuta ya kutosha kwenye gari, pia chagua vituo bora vya mafuta, usijaze pasipo aminika.
Aangalie sana hizo spark plug. Kama hazitoi cheche za kutosha gari inasumbua sana kwenye kuwaka.
 
Pendelea kufanya service ya gari kama inavyotakiwa full service baada ya 3000-5000km
 
Mkuu kwenye gari yangu naona kuna notfication imeandikwa O/D OFF. Ni kitu gani hicho?

bonyeza button ya OD....hayo maandishi yaondoke....nikiongea mengi utachanganyikiwa.
 
Funguka mkuu

gari inatwakiwa iendeshwe with OD ON.....ili kuokoa wese sasa wewe umebonyeza OD OFF button maanake umeizima OD kwahio unatumia nguvu na mafuta mengi.....hayo maandishi[OD OFF] hutakiwi uyaone hapo kwenye normal driving bonyeza hio button tena yafutike.
 
Asante mkuu nimeona mabadiliko. Shukran kamanda
 
gari inatwakiwa iendeshwe with OD ON.....ili kuokoa wese sasa wewe umebonyeza OD OFF button maanake umeizima OD kwahio unatumia nguvu na mafuta mengi.....hayo maandishi[OD OFF] hutakiwi uyaone hapo kwenye normal driving bonyeza hio button tena yafutike.

Mi siyo dereva na sina gari ila kumbukumnbu zinaonesha OD ikiwa ON gari inakuwa nyepesi na inapepea, wakati OD ikiwa OFF gari inakuwa nzito na inatafuna wese.
In brief ni sawa na tofauti ya namba 4 na 2 gear hizo.
 
Upo mle mle na mkuu RRONDO!! Gia yeyote yenye kasi haina nguvu,na gia yenye kasi haili mafuta. Kukimbia sana maana yake upo kwenye gia kubwa ambayo haili mafuta na haina nguvu. Wewe na mkuu mko sawa.
 
Mkuu kwenye gari yangu naona kuna notfication imeandikwa O/D OFF. Ni kitu gani hicho?
RRONDO na Capitalist M wametoa maana huko chini,zina maelezo tofauti ila zina maana sawa. Over Driving maana yake mwendo kasi mkali hii unaweza ipata kwenye gia namba 3,4,5. Gia hizi kwa viwango tofauti zina tabia ya kwenda kazi na hazitafuni mafuta maana hazina nguvu ila zina kasi. Gia 1,2 na Rivasi zina mwendo mdogo na zina nguvu hivyo zinakula mafuta. Hivyo kipeleke kisomeke ON ili uweze kuserve kiwese.
 
Back
Top Bottom