Hahahahahahaha hutaki kuchoshana sio bana
inakuwa tabu tabu kabisaa, acha wasiokuwa na kazi wafanye hiyo kazi na kujipongeza vijiweni, hhahahaha nimependa msimamo huuHahahahaha umeona eeh,ugumu wa maisha tayari funzo tosha,sasa ukiongeza tena na they so called bikra
hell no
inakuwa tabu tabu kabisaa, acha wasiokuwa na kazi wafanye hiyo kazi na kujipongeza vijiweni, hhahahaha nimependa msimamo huu
na bado ikawa smooth! labda ina ute kama wa konokono! hongera zako!Wala hata maandalizi hayakuwepo, maana mtu mwenyewe aliniingilia kinguvu, mimi nilikuwa sitaki kumpa kwa wakati huo yeye akang'ang'ania nikakubali yaishe tu.
wala si fahari kuwa na bikira, ni aibu kwanza.
Unahsngaa nini?
the guy aliyenitoa namkumbukaaaaaaaaaaa! mmenikumbusha mbali, lol, mbarikiwe wote mliochangia uzi huu!
no comment Mtoboasiri!Si ilitoka wakati ukiwa umepanda punda, sasa utasahauje? Urongo?
the guy aliyenitoa namkumbukaaaaaaaaaaa! mmenikumbusha mbali, lol, mbarikiwe wote mliochangia uzi huu!
Ndiyo inawezekana, Mimi mwenyewe siku ya kwanza sikusikia maumivu kihivyo wala sikutokwa na damu sasa sijui ilitoka yenyewe au sikuzaliwa nayo. Na hicho kitu huwa najiuliza na kubaki bila jibu.
Nashukuru kwa kunipa jibu humu Jf Risa wewe ndo umenifanya kuuliza swali hili humu.
no comment Mtoboasiri!
he! mkuu kwani unanijua!
he! mkuu kwani unanijua!