Hii barua ya Bunge kwa umma kuhusu matibabu ya Lissu. Vipi Bunge liseme halijui Lissu alipo?

Na hapo hapo, mtumishi huyo anaendelea kuhudumiwa kwa kulipwa mshahara huku hajulikani alipo. Na barua kede kede anaandikiwa, ispokuwa hiyo burua moja tu ya ONYO: hatujui na hatutambui ulipo. Tutakufukuza kazi. Na kweli wanafukuza hata kabla ya kutoa nafasi ya barua ya onyo kujibiwa.
Nyinyi ni watumishi kutoka mbinguni!

Mkuu sijakuelewa fafanua kidogo.
 
Hivi hili swala la mbunge kufutwa utaratibu wake ni huwa spika anaandika barua kwa tume halafu tume inakubali na kufuta..???
hakuna utaratibu wowote wa kumtumia barua muhusika kumuuliza yuko wapi au kumpa notice yoyote kabla ya kufanya haya sisiemu wamefanya...???
Na mwisho hakuna nafasi yoyote inayotolewa kwa muhusika kujitetea kabla ya maamuzi...

Nimeuliza kwasababu naona kuupata ubunge ni kazi ngumu saaaaana ila kufutwa imekuwa kitu rahisi sana awamu hii..

Pascal Mayalla na wengine naombeni mnisaidie hili tafadhali
 
Acha kuhukumu mana unajivika Umungu. So JPM amekuwa Spika sasa. Mnampenda sana huyu mkuu wa nchi mana hata ukijambaaa unasema sababu yeye as if hana kazi. Poleni sana .
Mungu anayetajwa na Magufuli siyo yule ambaye dunia inamuabudu , nadhani yuko mungu wake mwingine , nalihurumia sana kanisa linalomruhusu kufanya ibada , maana limejitwisha dhambi kubwa mno .
 
Sijui kwa utumishi wa Kibunge lakini kwa watumishi wengine wote wa Umma hata kama bosi wako atakuja kukusalimia hosipitalini na mkakesha naye kama hakuna barua rasmi ya taarifa za ugonjwa wako kutoka kwako, siku Ofisi wakiamua kuchukua hatua juu yako hutakuwa na jinsi.
Kwahiyo apo hizo barua za Bunge zilikua zinaenda kwa nani au zinazungumzia nini?
 
Na Kuna muovu mmoja maarufu hapa jf nae ni msukuma kama JIWE anavyo jifanya msukuma. Anashangilia kabisa kua chadema hawafuati sheria ati ndo maana wanafukuzwa.

Jamaa nae hua anajitamba kua amesomea ule upumbavu kama alio somea yule MPUMBAVU kabudi pale jalalani.
Apo unamsema yule kwetu maana yake ni Njaa
 
Peleka mahakamani, uamuzi umekwisha toka, mtindo wa kutafuta huruma jukwaani hausaidii Kitu,
Mtu utauguaje miaka kibao , ukitoka unaenda kutukana alafu unarudi kitandani kuuguza nini .
Lissu ni fix tu kapona zamani si hajabu hata matundu ya risasi hana
 
Ndugai na jiwe angekuwa baba yangu ningeshatangaza kumkana hadharani. Baba gani roho mbaya namna hii
 
Back
Top Bottom