Hii barua ya Bunge kwa umma kuhusu matibabu ya Lissu. Vipi Bunge liseme halijui Lissu alipo?

Sijui kwa utumishi wa Kibunge lakini kwa watumishi wengine wote wa Umma hata kama bosi wako atakuja kukusalimia hosipitalini na mkakesha naye kama hakuna barua rasmi ya taarifa za ugonjwa wako kutoka kwako, siku Ofisi wakiamua kuchukua hatua juu yako hutakuwa na jinsi.
Dhihirisha usemi wako kwa kuitaja sheria husika ya utumishi wa umma. Usifuate mkumbo tu.
 
Serikali ya kijangiri lazima ifanye mambo ya kijangiri jangiri kwa raia wake na haya ndo madhara ya kuwa na viongozi majangiri
 
Sijui kwa utumishi wa Kibunge lakini kwa watumishi wengine wote wa Umma hata kama bosi wako atakuja kukusalimia hosipitalini na mkakesha naye kama hakuna barua rasmi ya taarifa za ugonjwa wako kutoka kwako, siku Ofisi wakiamua kuchukua hatua juu yako hutakuwa na jinsi.
Hata kama umeumia wakati upo kazini inahitaji barua, hapana kwakweli?
 
Aibu sana kwa Ndugai ,yaani anatumika na Jiwe kama toilet paper kila anachotumwa anafanya ,mzigo wa aibu ,chuki dhuluma vyote anabeba yeye aluyemtuma katulia pembeni .
 
  • mama Samia alimtembelea Lissu hospitali huku akisema katumwa na rais
  • Na kama tunavyojua Rais ni sehemu ya bunge
  • Iweje leo bunge liseme halijui Lissu alipo?
Baada ya kuiona hii picha ya mama Samia...niliutambua utu wa binaadam.
Licha ya mkasa uliotokea, na jinsi Lissu mwenyewe alivyokuwa anaonekana hapo; huu ungekuwa ni mwanzo mzuri wa kujirudi. Kutafuta njia za kuliponya taifa letu badala ya kuendeleza mifarakano. Ilikuwa fursa nzuri sana ya kupoza yaliyokuwa yametokea.
 
Sijui kwa utumishi wa Kibunge lakini kwa watumishi wengine wote wa Umma hata kama bosi wako atakuja kukusalimia hosipitalini na mkakesha naye kama hakuna barua rasmi ya taarifa za ugonjwa wako kutoka kwako, siku Ofisi wakiamua kuchukua hatua juu yako hutakuwa na jinsi.
Na hapo hapo, mtumishi huyo anaendelea kuhudumiwa kwa kulipwa mshahara huku hajulikani alipo. Na barua kede kede anaandikiwa, ispokuwa hiyo burua moja tu ya ONYO: hatujui na hatutambui ulipo. Tutakufukuza kazi. Na kweli wanafukuza hata kabla ya kutoa nafasi ya barua ya onyo kujibiwa.
Nyinyi ni watumishi kutoka mbinguni!
 
Back
Top Bottom