Hii barua ya Bunge kwa umma kuhusu matibabu ya Lissu. Vipi Bunge liseme halijui Lissu alipo?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,092
1142167



Na barua nyingine hii hapa chini pia ilitolewa na bunge hilo hilo

1142181



Nyningine hii kutoka kwa Spika mwenyewe akitoa taarifa za mbunge wake, Lissu kushambuliwa kwa risasi

1142191

1142199
 

Attachments

  • 1561816241254.png
    1561816241254.png
    51.2 KB · Views: 49
Halafu utawasikia tumtangulize Mungu mbele, kumbe maana yake tutangulize uovu mbele, yameshindwa siasa sasa yanaua kama kuku, ni wakati wa watanzania kuchukua hatua
Mungu anayetajwa na Magufuli siyo yule ambaye dunia inamuabudu , nadhani yuko mungu wake mwingine , nalihurumia sana kanisa linalomruhusu kufanya ibada , maana limejitwisha dhambi kubwa mno .
 
Back
Top Bottom