Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

Hakuna asiyetaka maendeleo lakini siyo kwa staili hiyo! Mama asikilize ushauri na maoni ya Watanzania kabla hajaendelea na mikakati ya kuleta maendeleo kwa nchi yetu!
Maoni yenu yamesikilizwa hukuona bungeni?
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Sir John Roberts.....ndiyo maana marekani mtu akikuita "Sir" anakushtua kuwa umeshemsha au umekosea au wewe ni mpuuzi
 
Kwa hiyo kuondoa vishoka kunahitaji Dubai kuingilia kati.? Akili xa wapo hizo. Watu wanaongelea vipengele vya mkataba wewe unarukaruka kama popcon
Hata hao TICS waliopewa kwa miaka 20 na bado upigaji ukaendelea ni vishoka tu. tunahitaji wawwekezaji wasio na njaa kama DP WORLD.
 
Ndio nikweli nchi haiongozwi kwa kusikiliza kelele za wapumbavu ndio maana magufuli alikuwa haendekezi haya mambo sijui uhuru wa kutoa maoni ujinga mtupu tungeona tu action na hakuna kenge yeyote angeongea.

Wajinga na wapiga deal nchi hii ni wengi,hapo kuna maslahi yao wanapigania tuh hapo bandarini,wezi tuh hawana lolote,

Samia piga kazi,usisikilize vilaza hao
 
Sisi tuta mpima kwenye Sanduku la kura 2025. Ni mwendo wa kuchinja Wazanzibar wote.
Ewaaa hapo umeongea umpime kwa utendaji wake wa kazi ila hapo kwa uzanzibari unakosea mtu asipingwe kwa kabila lake.
 
madalali ya dp world na samia tunawaambia hivi hata mkeshe mnawatetea hao wapuuz sasa waambieni waje muone tutakavyo wafanya kama hawajakimbia wenyewe.
DP WORLD siyo TICS wale hawana kona kona kama zenu wabongo kila kitu magumashi.
 
Mkuu mkataba ni makubaliano ya pende mbili kwa manufaa ya wote ukiona bunge limepitisha jua kuna faida imeonekana
Bunge lipi? hii bunch ya wezi wa kura mchana mchana bila aibu, no wonder hawana uchungu na maliasili zetu. Nyerere angeamua kuziuza kwa mikataba ya milele sijui leo wangebinafsha nini.
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
 
Wapumbavu usipocheza na akili Yao wanakuangusha uchaguzi mkuu,labda Kama mpango wa kugombea haupo
 
M
Bunge lipi? hii bunch ya wezi wa kura mchana mchana bila aibu, no wonder hawana uchungu na maliasili zetu. Nyerere angeamua kuziuza kwa mikataba ya milele sijui leo wangebinafsha nini.
Mkuu! Wewe unamtaja Nyerere yupi! Aliyepata mwadui Diamond na Tazara ni nani! Acha kudanganya watu. Mbona mashirika yote aliyoanzisha yalikufa hadi Mkapa alipokuja kuyapiga bei!
 
Mbona hakuongea wakati TICS wanaendesha hiyo bandari zaidi ya miaka 20 hakuna tulichopata? pale bandarini majizi yameshaweka mifumo yao kwahiyo tutegemee kelele nyingi sana kipindi hiki lakini wavumilie watazoea ni lazima nchi isonge mbele kiuchumi.
Una uhakika?
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Naona mliopata nafasi ya kutalii Dubai mmeamka.
Hakuna anayepinga uwekezaji hata kidogo, hoja zao ni constructive hata kama utajidai hamnazo,.
Kuhoji faida zitakazopatikana na uwekezaji/ubinafsishaji wa bandari ziko kwenye mkataba upi ni kosa? Kuna ugumu gani kuonyesha nyaraka inayothibitisha hizo faida.
Kuhoji mkataba ni wa muda gani na ikitokea mwekezaji ameunderperform nini kifanyike na kiko.wapi kwenye mkataba ni kosa?
Kuhoji kwa nini ziwe bandari zote za Tanzania bara pekee nalo ni kosa? Hizi bandari za kwenye maziwa Zina changamoto kama Zilizopo Dar?
Hivi wote waliojitokeza kupinga huu mkataba,ni kweli wote hawapendi Mh.Samia?
Mbona wamo waliokuwa mashabiki wake wakubwa toka alipoingia madarakani mpaka kufikia kumponda na kumtukana mtangulizi wake!
Umezisikiliza vizuri hoja za wabunge wanaounga mkono, ni kweli zinashawishi? Mfano Msukuma kukaona kabinti kadogo kanabonyeza kompyuta kontena linahama kweli ni habari?
Mbona hiyo Teknolojia ni ya zamani sana!! Amewahi kutembelea migodi hata iliyoko Tanzania akaona processing plants zinavyoendeshwa?
Tunamuunga mkono sana Mh. Samia kwenye uwekezaji hata hatuungi mkono njia mbovu kuhalalisha Nia njema.
 
Mtakasirika sana lakini hatuwezi kucheleweshwa na watu wajinga msio na maono. Vishoka bandarini mwisho wenu umefika lazima mifumo yote isomane meli inakuja leo inashusha na kugeuza serikali inapata mapato na wewe unapokea mzigo wako biashara za magumashi kwisha habari.
Ni mwendo wa ma robot tu
Ajira itakuwaje sasa
 
Naona mliopata nafasi ya kutalii Dubai mmeamka.
Hakuna anayepinga uwekezaji hata kidogo, hoja zao ni constructive hata kama utajidai hamnazo,.
Kuhoji faida zitakazopatikana na uwekezaji/ubinafsishaji wa bandari ziko kwenye mkataba upo ni kosa? Kuna ugumu gani kuonyesha nyaraka inayothibitisha hizo faida.
Kuhoji mkataba ni wa muda gani na ikitokea mwekezaji ameunderperform nini kifanyike na kiko.wapi kwenye mkataba ni kosa?
Kuhoji kwa nini ziwe bandari zote za Tanzania bara pekee nalo ni kosa? Hizi bandari za kwenye maziwa Zina changamoto kama Zilizopo Dar?
Hivi wote waliojitokeza kupinga huu mkataba,ni kweli wote hawapendi Mh.Samia?
Mbona wamo waliokuwa mashabiki wake wakubwa toka alipoingia madarakani mpaka kufikia kumponda na kumtukana mtangulizi wake!
Umezisikiliza vizuri hoja za wabunge wanaounga mkono, ni kweli zinashawishi? Mfano Msukuma kukaona kabinti kadogo kanabonyeza kompyuta kontena linahama kweli ni habari?
Mbona hiyo Teknolojia ni ya zamani sana!! Amewahi kutembelea migodi hata iliyoko Tanzania akaona processing plants zinavyoendeshwa?
Tunamuunga mkono sana Mh. Samia kwenye uwekezaji hata hatuungi mkono njia mbovu kuhalalisha Nia njema.
Tafuta mkataba upo huku jukwaani umewekwa usome hakuna siri
 
Back
Top Bottom