Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

Ndo hapo sasa
Mitandaoni watu wanaonesha kuumia ila kuonesha maumivu hawataki, na ukute serikali ilisubiria kuona wangapi hawataki kumbe hawazidi hata 7

Ilitakiwa Mbowe, Lissu, Heche, Mdude wawe front kabisa angalau watu wangeenda sasa wenyewe wako mitandaoni tu afu wanataka ajenda ifikishwe kwa wahusika.
Hahaha lissu na maandamano ni sawa na mbingu na ardhi kwanza yeye na lema familia zao zipo Canada wamekuja kutuchora tu hapa.
 
Mh. Rais ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mngekuwa mnajua kilichoandikwa msingekua mnapiga kelele hovyo inaonesha wengi wenu mnafata mkumbo wa wanasiasa uchwara wanajitafutia umaarufu kupitia hilo suala la bandari.
Tunapoteza muda kubishana na wewe unafact yoyote unapiga kelele tu.

Wazazi waliuza mahindi usome , wewe ukaenda kukata viuno shuleni....
 
Mh. Rais ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Halafu bahati mbaya, wengi wanaburuzwa tu kwa maslahi binafsi ya wachache. Hawaelewi kama wanabeba agenda si zao. DP World to the next level.
 
Tunapoteza muda kubishana na wewe unafact yoyote unapiga kelele tu.

Wazazi waliuza mahindi usome , wewe ukaenda kukata viuno shuleni....
Mtake au msitake bandari lazima iboreshwe kama mlizowea kufanya biashara za kimagumashi hapo bandarini siku zenu zimeisha katafuteni shughuli za kufanya.
 
Mh. Rais ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Shida haipo kwa Dada Paulina Dunia, shida ni nyie wenzetu wa ten percent, wazee wa cha juu ndio mtakaotufelisha
 
Mbona faiza kaweka mkataba humu, nenda kausome
Hawasomi hawa wapinga hovyo hapa asilimia 99 ya wanaopinga hawajasoma achilia mbali kusoma hata mijadala ya kwenye bunge na television hawafuatilii. Hii nchi ina watu wajinga wengi bendera fuata upepo na vyama vya wapinzani wameshawajua wanawachezesha tu segere.
 
Shida haipo kwa Dada Paulina Dunia, shida ni nyie wenzetu wa ten percent, wazee wa cha juu ndio mtakaotufelisha
Ten percent ni sasa ndo zinapigwa sana hapo bandarini hujamsikia mama anakwambia kuna mifumo zaidi ya 30 ina operate pale bandarini na haisomani? Unajua kwanini haisomani? Maana yake ni wizi unafanyika mzigo unapitia mifumo zaidi ya 30 ndio utoke na hakuna Link in between kama siyo wizi ni nini? Jiandaeni kiama chenu kimefika.
 
Mh. Rais ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa. Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Sir John Roberts! Wewe ndio mtanzania thabiti na mpenda maendeleo. Hao wasiotaka waendelee kujadili tuu sisi kazi na iendelee
 
Back
Top Bottom