Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

“Mkipewa” hilo kundi la “mkipewa mnaiba” naomba unitoe huko
Kama reasoning yako ni kuiba, basi serikali nzima ibinafsishwe maana hakuna mahal ambapo hamna hiyo kitu.
Ndio tunataka tupunguze sasa wizi kwenye sekta muhimu kama bandari na sehemu zingine za kiuchumi ili pasimamiwe vizuri tupate mapato kwa maendeleo ya nchi.
 
I will rather do that, and hiyo sio win win situation, win win ni when both parties wanafadikia na wana power to stop. Sio one side ina power and no stopping huo ni ukoloni.
Kumbe hujasoma hata hayo makubaliano. Polee
 
Nikiangalia passion waliyonayo wanaoutetea huu mkataba wa DP,Haina tofauti na na passion waliyokuwa nayo wale mazombie,waliokuwa Wana mshangalia jiwe aliposema barrick tunawadai tilion 360!!!
Leo tumejua kumbe ilikuwa kanyaboya TU,li profesa la majalalani limetuambia,na yale makenge yaliyokuwa yanashangilia Sasa hv,yamejificha kama nguchilo,
Let's call a spade a spade,ccm kuanzia Rais Samia ni wezi TU,mkataba wowote wanaoingia kikubwa kwao ni maslahi binafsi,
Hawa kina kitila,zito,ni wapambe TU,wameishakula mlungula.
 
Mnapuyanga tu hakuna lamaana .nawashauri msubiri matokeo yajayo yanafurahisha.
Tatizo la ninyi mlio serikalini na ni watu wajinga wajinga, mnafikiri mna akili kuliko wengine kumbe ni mambumbumbu mlioingizwa kazini na ndugu zenu tu.
You cant think for us, who are more intelligent than yous dumb asses!
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Ni vzr ukatoa ushabiki na utambue hoja za watanzania dhidi ya DP world, tatizo sio investment!! Tatizo ni kilichomo ndan ya mkataba especially duration of agreement na terms and conditions!!
 
Umesoma hayo makubaliano? Kipengele kipi kwenye hayo makubaliano kinakutatiza?
 
Tatizo la ninyi mlio serikalini na ni watu wajinga wajinga, mnafikiri mna akili kuliko wengine kumbe ni mambumbumbu mlioingizwa kazini na ndugu zenu tu.
You cant think for us, who are more intelligent than yous dumb asses!
Mimi wala sifanyi kazi serikalini nina shughuli zangu binafsi ila mamshukuru Mungu amenijalia kipawa cha kuchanganua masuala mbalimbali na nimegundua Rais na serikali kwa ujumla wamechukua maamuzi muhimu sana tuwape sapoti.
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Hatukatai., ila mikataba yenu tunataka mtwambie., ni Ubinafisishaji au Utaifishaji. Kwa nini iwe Bandari zote za Bahari na Maziwa, halafu kwa nin kusiwe na time limit., That's all.
 
Nikiangalia passion waliyonayo wanaoutetea huu mkataba wa DP,Haina tofauti na na passion waliyokuwa nayo wale mazombie,waliokuwa Wana mshangalia jiwe aliposema barrick tunawadai tilion 360!!!
Leo tumejua kumbe ilikuwa kanyaboya TU,li profesa la majalalani limetuambia,na yale makenge yaliyokuwa yanashangilia Sasa hv,yamejificha kama nguchilo,
Let's call a spade a spade,ccm kuanzia Rais Samia ni wezi TU,mkataba wowote wanaoingia kikubwa kwao ni maslahi binafsi,
Hawa kina kitila,zito,ni wapambe TU,wameishakula mlungula.
Bandarini wamejaa vishoka tunataka kuboresha ili meli iweze kushusha mizigo kwa siku 1 badala ya hivi sasa tunatumia wiki nzima. Muda ni mali na biashara za kimagumashi zitaisha kule ni mitambo tu inafanya kazi. Tulia subiri matokeo
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.
Sawa sosolo
 
Niliyo mention ndio changamoto watanzania wanahoji!! Mkataba ni wa muda gan, mashart ya mkataba!!
Ni makubaliano hakuna mkataba na pande mbili zitaafikiana kusitisha endapo mambo yataenda ndivyo sivyo.
 
Mimi wala sifanyi kazi serikalini nina shughuli zangu binafsi ila mamshukuru Mungu amenijalia kipawa cha kuchanganua masuala mbalimbali na nimegundua Rais na serikali kwa ujumla wamechukua maamuzi muhimu sana tuwape sapoti.
Kama kuchanganua kwako ni kwa kiwango ulichonacho basi you are worser off.
 
DP world kama wataachiwa space wapige kazi kama wanavyopiga nchi za ulaya,tutegemee ongezeko kubwa sana la meli na hata wazambia na wamalawi watarudi kama zamani kuitumia bandari yetu
 
Attachments

  • 20230615_034750.mp4
    40.9 MB
Ni makubaliano hakuna mkataba na pande mbili zitaafikiana kusitisha endapo mambo yataenda ndivyo sivyo.
Ila bongo 🤣🤣, tunaojua sheria na wasomi wa sheria na watanzania wengine wenye elimu za juu wanasema ni mkataba! Lkn wanasiasa hasa wanaopush agenda wanasema ni makubaliano 🤣🤣!! Nikuulize swali.... Nini maana ya mkataba, pia nn maana ya makubaliano?
 
Back
Top Bottom