Ya nini nimeshamcheki inbox labda na wewe je!Mbona hujaweka number ya simu mleta uzi!?
Maendeleo ya nchi hayawezi kucheleweshwa na mjinga mmoja kama wewe.Usitupigie kelele
kinachosikitisha zaidi ni kwamba ndani ya maika 60 ha Uhuru wetu hatuwezi kuongoza kitu kidogo tu ndani ya Jamhuri yetu kinachoitwa Bandari kwa ufanisi. Yaani aliyezaliwa siku ya Uhuru sasa hivi ni dingi/ bibi wa miaka 60 still hadi tuwaite maponjoro waje kutusaidia.Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.
Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.
Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Njoo kwenye sekta nisiyokuwa na uwezo nayo tukubaliane " it's a win - win situation "Mtoa hoja, nataka kuja kuwekeza kwenye mji wako ili nikuboreshee maisha ya wanafamilia wako, upo tayari. Kitakachobakia nitakugawia kama faida.
Wekeza kwa mamako kwanza ili hiyo faida ibaki kwenye familia yenu. Boya weweMtoa hoja, nataka kuja kuwekeza kwenye mji wako ili nikuboreshee maisha ya wanafamilia wako, upo tayari. Kitakachobakia nitakugawia kama faida.
naanza kuwekeza kwenye familia yako, nishaona kuna shida hasa kwenye nyanza za Elimu, Afya, Malazi na Bima za maisha.Njoo kwenye sekta nisiyokuwa na uwezo nayo tukubaliane " it's a win - win situation "
mbona umeshtuka? kidole kimeshafika penyewe nn ... 😀 😀 ntamzalisha hadi mkeo boya weeWekeza kwa mamako kwanza ili hiyo faida ibaki kwenye familia yenu. Boya wewe
Mkataba Ni mzuri Ila tatizo ni masharti yaliyopo ndani ya mkatabaRais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.
Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.
Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Watanzania wote wanaopenda maendeleo hawawezi kupinga mageuzi ya kiuchumi hasa maeneo kama bandari na sekta nyingine za kiuchumi. Biashara ndo mpango mzima Watanzania hatumuelewi huyu mama Samia atusamehe.I second you.
Naunga. Mkono hoja 100%.
Tena ajabu sana, chadema wamemtumia kijana anaejulikana kwa ushoga anaitwa Soka, ndiyo eti aanzishe maandamano ya kupinga bandari isiendeshwe na Waislam. Cheza na intelijensia ya Tanzania,
mwenyewe hakuwepo akabambwa huko huko laikojificha. akasema yeye ameahidiwa akianzisha maandamano atafanyiwa mpango apelekwe Denmark au Canada akapate ukimbizi. Akawataja na wengine wote aliowarubuni.
Sasa najiuliza tuwafate hawa mashoga wasiopenda mendeleo?
Mama. Piga uwa, bandari iboreshwe haraka sana.
N a TRA awape wahindi mana wabongo wanakula na wachina. Kodi za makampuni ya wachina Kule TRA ya ####### wanachezeshaRais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.
Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.
Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Njoo kwenye sekta nisiyokuwa na uwezo nayo tukubaliane " it's a win - win situation "naanza kuwekeza kwenye familia yako, nishaona kuna shida hasa kwenye nyanza za Elimu, Afya, Malazi na Bima za maisha.
Kiini cha mkataba wowote huwa ni Masharti, sasa itakuwaje mzuri wakati masharti ni mabovu?Mkataba Ni mzuri Ila tatizo ni masharti yaliyopo ndani ya mkataba
Wewe mwenyewe umezalishwa hovyo ! Sasa utawezaje kuzalisha kama sio mkunga pimbi wewembona umeshtuka? kidole kimeshafika penyewe nn ... 😀 😀 ntamzalisha hadi mkeo boya wee
Mkuu mkataba ni makubaliano ya pende mbili kwa manufaa ya wote ukiona bunge limepitisha jua kuna faida imeonekanaKiini cha mkataba wowote huwa ni Masharti, sasa itakuwaje mzuri wakati masharti ni mabovu?
Tulia wewe, acha kushabikia uuzwaji bandari kama zuzu lisilo na uelewa wowote juu ya hatma ya Tanganyika.Wewe mwenyewe umezalishwa hovyo ! Sasa utawezaje kuzalisha kama sio mkunga pimbi wewe
Asante kwa kuweka hapa hayo makubaliano lakini nasikitika vijana wengi waliopo mitandaoni ni bendera fuata upepo hawatasoma ila utawaona wanapinga tuu kisa kasema lissu sijui na nani kumbe hawajui wenzao wanatafuta umaarufu wa kisiasa.Huu hapa mkataba, soma ulete huo upupu unaotopoloshwa mitandaoni kuwa ni wa milele
Huu hapa soma wote kagua vizuri, urudi hapa na ushahidi
Vp unaonaje jeshi wakipewa wale jamaa wa DR Congo 🇨🇩 M23!!!N a TRA awape wahindi mana wabongo wanakula na wachina. Kodi za makampuni ya wachina Kule TRA ya ####### wanachezesha