Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
- #101
Style mnayotaka twenda nayo imepitwa na wakati.uchumi ukitaka uuendeshe peke yako tutakua masikini milele.Tumeshashindwa mkuu hakuna haja ya kulazimisha
Style mnayotaka twenda nayo imepitwa na wakati.uchumi ukitaka uuendeshe peke yako tutakua masikini milele.Tumeshashindwa mkuu hakuna haja ya kulazimisha
Sawa tu. Kama upinzani hata vitu vya kuifanyia kampeni hamvijuiVp unaonaje jeshi wakipewa wale jamaa wa DR Congo 🇨🇩 M23!!!
Tulia wewe, acha kushabikia uuzwaji bandari kama zuzu lisilo na uelewa wowote juu ya hatma ya Tanganyika.
Ndio nikweli nchi haiongozwi kwa kusikiliza kelele za wapumbavu ndio maana magufuli alikuwa haendekezi haya mambo sijui uhuru wa kutoa maoni ujinga mtupu tungeona tu action na hakuna kenge yeyote angeongea.
Wewe taja hivyo vipengele ni vipi na unataka viweje!Fuso wewe Tanganyika umeitoa wapi! Baada ya Muungano ni vitu viwili tu vilivyobakia kwa jina hilo na ni Tanganyika Law Society na International school of Tanganyika
Umegonga kwenye mfupa. Wapo wengi tuu waliozowea biashara za shortcut pale kuna vijana wakiamka asubuhi wamenyonga tai wanashinda bandarini jioni wanarudi na milioni 5 tano wanakunywa bia tu mwisho wao umefika.GSM wanapambana mkataba usisainiwe
madalali ya dp world na samia tunawaambia hivi hata mkeshe mnawatetea hao wapuuz sasa waambieni waje muone tutakavyo wafanya kama hawajakimbia wenyewe.Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.
Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.
Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Maendeleo ya nchi hayawezi kucheleweshwa na mjinga mmoja kama wewe.
madalali ya dpworld yaliyohongwa kutetea upumbavu yako kazinUmegonga kwenye mfupa. Wapo wengi tuu waliozowea biashara za shortcut pale kuna vijana wakiamka asubuhi wamenyonga tai wanashinda bandarini jioni wanarudi na milioni 5 tano wanakunywa bia tu mwisho wao umefika.
madalali ya dpworld yaliyohongwa hayawez kutuyumbisha hao wapumbavu wenu waambien waje halafu waone tutakachowafanya.Tulieni mletewe maendeleo wacheni kelele.
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.
Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.
Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Hakuna ambae anapinga uwekezaji but at what cost? Tunawapa wawekezaji nguvu zaidi kuliko wananchi?
Nguvu moya💪💪Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.
Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.
Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
mkataba wa ovyo tangu Tanganyika imepata uhuru ni wazi anataka kuuza nchi.Tukana matusi yote lakini bandari lazima iboreshwe hatuwezi kucheleweshwa maendeleo na wajinga wachache au nyie ndo wezi wenyewe nini hapo bandarini? Mifumo 30 lakini haisomani si wizi huo tulieni mletewe maendeleo.
Sikushangai kwa upeo wako ni sawa kufikiri hivyo. Mikataba ya hovyo sana ilifanyika wakati wa awamu ya tatu kama hujui.mkataba wa ovyo tangu Tanganyika imepata uhuru ni wazi anataka kuuza nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni wazo zuri natumaini wanaweza kuzingatia ila sas watanzania wakishawekwa sehemu kama hizo wanawaza kupiga tu hiyo ndio changamoto sijui wawadhibiti vipi.Uwekezaji ni mzuri sana hususani kwa bandari ili kuiongezea ufanisi ila nashauri njia ya PPP itumike kwa kuunda kampuni moja serikali na DPW, iwe na hisa km walivyofanya kwa Barick, NMB na NBC ili serikali kupitia TPA iwe na jicho lake.