Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

I second you.


Naunga. Mkono hoja 100%.

Tena ajabu sana, chadema wamemtumia kijana anaejulikana kwa ushoga anaitwa Soka, ndiyo eti aanzishe maandamano ya kupinga bandari isiendeshwe na Waislam. Cheza na intelijensia ya Tanzania,

mwenyewe hakuwepo akabambwa huko huko laikojificha. akasema yeye ameahidiwa akianzisha maandamano atafanyiwa mpango apelekwe Denmark au Canada akapate ukimbizi. Akawataja na wengine wote aliowarubuni.


Sasa najiuliza tuwafate hawa mashoga wasiopenda mendeleo?

Mama. Piga uwa, bandari iboreshwe haraka sana.
Nyumbani kwake wamepekua? Ukute ana kadi ya ccm.
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.

Usitupigie kelele
 

Attachments

  • 69480.jpg
    69480.jpg
    14.9 KB · Views: 2
Mbona hujaweka number ya simu mleta uzi!?
Mimi sina haja ya kutoa namba ya simu sina ninachokitafuta ila nawashangaa watanzania wajinga nyie msio kuwa na maono ya maendeleo mmepata rais anayeona mbali ila nyie vipofu mna macho lakini hamuoni.
 
Wewe mwenyewe mjinga tu.

Huna unachojua.
Mtakasirika sana lakini hatuwezi kucheleweshwa na watu wajinga msio na maono. Vishoka bandarini mwisho wenu umefika lazima mifumo yote isomane meli inakuja leo inashusha na kugeuza serikali inapata mapato na wewe unapokea mzigo wako biashara za magumashi kwisha habari.
 
Back
Top Bottom