Hii bandari itaboreshwa mtake msitake maendeleo hayabembelezwi!

Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Tunapenda maboresho ila kupitia mikataba mizuri.
 
Hakuna ambae anapinga uwekezaji but at what cost? Tunawapa wawekezaji nguvu zaidi kuliko wananchi?
It's a win - win situation otherwise utakaa na libandari lako hapo miaka 1000 ukijidai unaogopa uwekezaji.
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
Kama ni kweli TU,
Mkapa alisema hv hv,akawaingiza Netgroup solution kutoka SA pale tanesco,tena kwa mitutu ya bunduki,tukaambiwa watalifanya shirika la tanesco kuwa Bora!!
Yapo wapi!!
Ikaja Richmond,escrow,tukapigwa ni nyani tofauti,ila msitu ni ule ule!!
Kama unaamini ccm wamekuwa malaika,jipeleke mwenyewe milembe hospital!
 
Umesoma mkataba?
Watanzania tunapenda sana kufanyiwa mambo yetu na wageni kuna madhara makubwa katika hili. Tulipaswa kishirikiana na wageni kwenye management na sio kukodisha bandari zetu zote kwa wageni kweli hatuwezi kuendesha vya kwetu!?
 
Basi kumbe hujasoma huo mkataba nimekuelewa. wewe ni miongoni mwa bendera fuata upepo
 
Kama ni kweli TU,
Mkapa alisema hv hv,akawaingiza Netgroup solution kutoka SA pale tanesco,tena kwa mitutu ya bunduki,tukaambiwa watalifanya shirika la tanesco kuwa Bora!!
Yapo wapi!!
Ikaja Richmond,escrow,tukapigwa ni nyani tofauti,ila msitu ni ule ule!!
Kama unaamini ccm wamekuwa malaika,jipeleke mwenyewe milembe hospital!
Hayo mashirika unayosema tulipigwa na watanzania wenzetu kwa mgongo wa wawekezaji ndio hawa wakina mama tibaijuka wakapewa mabilioni ya hela leo wanapiga kelele
 
Ndio nikweli nchi haiongozwi kwa kusikiliza kelele za wapumbavu ndio maana magufuli alikuwa haendekezi haya mambo sijui uhuru wa kutoa maoni ujinga mtupu tungeona tu action na hakuna kenge yeyote angeongea.
Umejuaje wao ni wapumbavu na wewe siyo?
 
Hayo mashirika unayosema tulipigwa na watanzania wenzetu kwa mgongo wa wawekezaji ndio hawa wakina mama tibaijuka wakapewa mabilioni ya hela leo wanapiga kelele
Pengine amegundua alikosea...Two wrongs never make a right! Acheni mizaha kwenye mambo serious ya nchi, hii nchi ni yetu sote hata kama ni mfaidika once unafaidi leo haya haya yanayotokea yatakunyang'anya tone lako mdomoni once the system isnt capable of protecting everybody's interest
 
Rais Samia ukicheka na wajinga tutajikongoja miaka 500 kufikia malengo. Binafsi mimi kama mtanzania ni miongoni mwa tunaokusapoti sana kwenye kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi katika nchi hii. Speed yako ni kubwa sanaa. Usikatishwe tamaa na wajinga wengi wasiojielewa.

Wale mliozoea biashara za magumashi hapo bandarini katafuteni kazi za kufanya mama kasema lazima mifumo yote ya ku operate isomane mmetuchelewesha sana. Mtu unafika bandarini kumejaa vishoka tu watu wanapiga deal.

Shikilia hapo hapo DP WORLD to the next level.
We mburula , hakuna asiyetaka maendeleo.
Kama huelewi tofauti ya wewe kuuzwa na kuingia mikataba inayolinda maslahi ya Taifa, basi wewe tangulia utumwani.
 
sana kabisa tatizo la watanzania wengi hatujielewe ni watu wa lawama tu kwa kila kitu..
Badaee tutamuelewa tu ndio tulivyo watanzania. Mama asichoke kutuongoza hii nchi itapiga hatua kubwa sana kiuchumi katika kipindi cha utawala wake. Umesikia juzi TANROADS wamesaini ujenzi wa kilometa 2000 za barabara za lami ? Wataelewa tu
 
Pengine amegundua alikosea...Two wrongs never make a right! Acheni mizaha kwenye mambo serious ya nchi, hii nchi ni yetu sote hata kama ni mfaidika once unafaidi leo haya haya yanayotokea yatakunyang'anya tone lako mdomoni once the system isnt capable of protecting everybody's interest
Kwahiyo wewe ndo unamsemea kwamba pengine alikosea? Masuala ya nchi unakosea? Hatuangalii ya nyuma ila hatufanyi makosa tumechelewa sana mama samia anaupiga mwingi sana.
 
It's a win - win situation otherwise utakaa na libandari lako hapo miaka 1000 ukijidai unaogopa uwekezaji.

I will rather do that, and hiyo sio win win situation, win win ni when both parties wanafadikia na wana power to stop. Sio one side ina power and no stopping huo ni ukoloni.
 
Mkipewa nguvu mnafanya nini?
Mnaiba na hata hela ya kuongeza crane inakosekana [emoji706]

“Mkipewa” hilo kundi la “mkipewa mnaiba” naomba unitoe huko
Kama reasoning yako ni kuiba, basi serikali nzima ibinafsishwe maana hakuna mahal ambapo hamna hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom