Hii ajali ya New Force Dereva kaumbuka Chalinze. Atajiteteaje?

Hii ajali ya New Force Dereva kaumbuka Chalinze. Atajiteteaje?

Malori yaondolewe yatafutiwe barabara zao yanatembea mwendo wa konokono
Malori ni kero kubwa barabarani. Yakifika mlimani au kwenye mwinuko yanatembea mwendo wa kinyonga! Ukisema ulipite uendelee na safari zako, unapigwa mkono na trafiki waliojificha mbele kukuvizia. Hapa kuna mawili; utoe rushwa au uandikiwe faini!
 
Wakuu,

Dereva ajiteteeje? Napingana na wanaosema alikuwa kalewaView attachment 3702389
Nyie watz hamna akili mostly sio wote!

Serikali iliweka sheria kali kwa hawa mbwa ,ya kukatwa point na mwisho wa siku kufungiwa leseni mazima!
Mkaanza kulaumu na kuwatetea hawa madereva washenzi.....sasa mpuuzi kama huyo si anastahili kabisa kuwekwa jela maisha..
 
Kesi sio kuondoa ila ,mwndo wa ndugu zetu wa bus 89kmhr kwa barabara gani mkuu ,unakaa unawaza gari itoke sumbawanga saa 12 jioni iringa ifike saa 4 alfjiri,Gari inakimbia mpaka unaogopa muda ote king'amuz kinalia tujiulze
1.wanawahi wapi?
2.nini wanachowahia huko wanakotaka kuwahi?
3.Bila kwenda mwendo mkubwa hafiki?

Asilimia nyingi barabarani ajali inasababishwa na madereva wa bus, hachukui tahadhari kwa kila ambacho anakifanya mud ote, unamkadiria mtu niovertake ,atatanua akikakataa inakuaje
Serikali ikichukua hatua dhidi ya hawa mbwa kuna wajinga wachache wanatetea,kisa tu utawala wa muislam! Kipindi cha dikteta jiwe Kila hatua aliyokuwa anachukua hata za kuua walikuwa wanapongeza kisa mgalatia mwenzao wa kigango!

Acha mfe mmanina zenu.
 
Wewe Mmalawi hapo points zinasaidia nini hapo wa kwanza kukosea ni huyo wa Bus na hao vima wengine wameshindwa kuepusha ajali kisa kukomoana hata wachukue leseni kwa mazingira ya kusaidiana madereva wenyewe haitasaidia kitu Tanzania madereva wanakomoana sana ndio maana kunakua na ajali za kijinga jinga tu.
 
Tena hao jamaa wamemfanyia makusudi tu "kumniga".😀

Gari ndogo hapo tayari ushachochora porini.

Haraka siyo sababu ya ku-overtake bila tahadhari,hapo atakaa masaa magapi sasa kunasuliwa?

BTW: Hiyo Actros ni Raphael Logistics au namna gani?
 
Kesi sio kuondoa ila ,mwndo wa ndugu zetu wa bus 89kmhr kwa barabara gani mkuu ,unakaa unawaza gari itoke sumbawanga saa 12 jioni iringa ifike saa 4 alfjiri,Gari inakimbia mpaka unaogopa muda ote king'amuz kinalia tujiulze
1.wanawahi wapi?
2.nini wanachowahia huko wanakotaka kuwahi?
3.Bila kwenda mwendo mkubwa hafiki?

Asilimia nyingi barabarani ajali inasababishwa na madereva wa bus, hachukui tahadhari kwa kila ambacho anakifanya mud ote, unamkadiria mtu niovertake ,atatanua akikakataa inakuaje
Sasa bus litembee speed ya 30km/h kutoka dar hadi sumbawanga litafika lini? Kwani barabarani hakuna maeneo dereva anaruhusiwa kutembea zaidi ya speed 50?
 
Serikali ikichukua hatua dhidi ya hawa mbwa kuna wajinga wachache wanatetea,kisa tu utawala wa muislam! Kipindi cha dikteta jiwe Kila hatua aliyokuwa anachukua hata za kuua walikuwa wanapongeza kisa mgalatia mwenzao wa kigango!

Acha mfe mmanina zenu.
Sasa hapo uislamu na ukiristo unaingiaje mkuu?

Dini na speed za mabus mbona ni mbingu na ardhi kabisa au ni zile chuki za kuchukia kitu bila sababu ya msingi
 
Wewe ni dereva uliekamilika hiyo ajali ni ya kipuuzi kwa wote hapo hakuna alietaka kuepusha ajali ni ujinga huo huyo wa New force kakosea na wengine wanaona wamkomoe tu madereva wa Bongo kazi ipo..
Mi dereva wa kawaida wa kike muoga muoga!!!!!

Watanzania hasa madereva ifikie muda wasiwakeane roho mbay huko barabarani na wachukuliane mapungufu wasameheane maana kikuweli barabara nyingi afrika ni mbovu
 
Mimi mara nyingi narudi na gari Tanzania ila kuendesha gari kutokea Tunduma mpaka Daslm ni hatari sana kwangu muda mwingi namwita dogo asote nao hao jamaa maana ni wakatili kuliko maelezo sehemu ya kumuachia mtu apite wao wanabana mpaka mtu anaingia mtaroni nikiendesha labda naenda Arusha huku Morogoro road ni balaa sehemu ambazo sio za kupata ajali unaona mtu anasota nje huko katolewa na gari kubwa..
 
Hapo uko sahihi maana madereva wa maroli kiukweli wana dharau na roho mbaya mambo ambayo huwa wanafanya barabarani sio poa.
mi hiyo barabara ya tunduma dar siiwezi kabisa bora dar mwanza vichaa wa huko nimewazoea.
 
Hawa washenzi kizazi cha Yutong huwaga wanakimbia wakisababisha ajali nadhani hapo huyo pimbi hajapata upenyo wa kuteleza labda apite kwenye chassis.
 
Ajali nyingi za mabasi zinasababishwa na upitaji wa magari ya mbele usio salama. Ni kawaida madereva kujaribu kupita hata gari kumi kwa mpigo.
Bidhaa za kichina kuuzwa bei rahisi sana na mikopo rahisi rahisi nako kunachangia hata wamiliki kujikuta wanawapa wendawazimu magari bila kuzingatia viwango vyao vya uelewa wa kulinda mali na roho za watu.

Hauwezi kumkuta driver let's say wa Tahmeed wale wanaoenda Mombasa au Katarama au Kaizerege&Kemebos wenye Scania wanafanya jambo hili,bus moja mill 900 haujaweka thamani yake ya bima hawezi pewa kichaa wa kuovateki tanker hata tatu Ila hao wa mchina bus mill 300 na mengine anapewa mkopo hawajali wao bora mtu amejiita dereva basi anapewa chuma.
 
Back
Top Bottom