format PC haraka sanaHii ina size ya MB 73 tu
Hiyo ya Mb 73 unaitumia kwenye computer au cellphone?Wakuu, nina adobe photoshop CS6. Hii ina size ya MB 73 tu. Inafanya kazi vema tu. Niliidownload kutoka kwa muhindi fulani huko Youtube. Sasa nikitafuta adobe nyingine naona ipo yenye size ya GB 1 na ushee hivi. Sasa naomba kuuliza, hii yangu ya MB 73 ni feki au tofauti na hii yenye size kubwa ni ipi?
Naomba kuwasilisha wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo portable ya photoshop CS 6 vipi kwenye ufanyaji kazi wake, inafanya sawa na full version?Tanki,
Photoshop sio kubwa, hio setup unayoona ya 1gb ina additional softwares ambazo sio muhimu kwako sababu hujanunua hio software kama vile.
1. Kunakuwa na version ya 32bit na 64bit hivyo ndani zipo setup 2
2. Kunakuwa na adobe bridge inayo organize mafile
3. Device central inayo integrate photoshop na wenzake
4. Dynamic link etc.
Hivyo hio portable uliyodownload imetolewa software zote ikaachwa photoshop pekee, hio pia inasaidia kupunguza probability ya kudakwa na Adobe.
Haina shida inapiga kazi fresh.Mkuu hiyo portable ya photoshop CS 6 vipi kwenye ufanyaji kazi wake, inafanya sawa na full version?
Nataka niishushe ila napata shaka niliwahi kutumia full version yake ila nikapotezaga setup yake, sasa leo nimetafuta source mbalimbali za kuaminika sijaipata full version nakutana na hiyo portable tu.
Hii ndio nilijifunzia ndio maana naitafuta sana japokuwa ni out-dated ila hizi CC sijawahi tumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Portable na full ni sawa utendaji, unakosa tu zile bloat nyengine kama adobe bridge na wenzake ambazo hazina maana kama hujalipia soft.Mkuu hiyo portable ya photoshop CS 6 vipi kwenye ufanyaji kazi wake, inafanya sawa na full version?
Nataka niishushe ila napata shaka niliwahi kutumia full version yake ila nikapotezaga setup yake, sasa leo nimetafuta source mbalimbali za kuaminika sijaipata full version nakutana na hiyo portable tu.
Hii ndio nilijifunzia ndio maana naitafuta sana japokuwa ni out-dated ila hizi CC sijawahi tumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba unitumie bs kama hutojali, hata link kama unayoWakuu, nina adobe photoshop CS6. Hii ina size ya MB 73 tu. Inafanya kazi vema tu. Niliidownload kutoka kwa muhindi fulani huko Youtube. Sasa nikitafuta adobe nyingine naona ipo yenye size ya GB 1 na ushee hivi. Sasa naomba kuuliza, hii yangu ya MB 73 ni feki au tofauti na hii yenye size kubwa ni ipi?
Naomba kuwasilisha wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
http://sfpcomputers.com/steve/Adobe.Photoshop.CS5.Portable/Adobe.Photoshop.CS5.exeMkuu naomba unitumie bs kama hutojali, hata link kama unayo
Kuna mafile yameliwa mkuu either hujadownload vizuri hilo file ama ant virus imekula.Nini tatizo hapoView attachment 1481529
Kwanza Hama Creative Suite (CS) haraka sana nafasi ziko wazi Creative Cloud (CC) ukifika ukizia CC 2017 au 2018 hutojutiaWakuu, nina adobe photoshop CS6. Hii ina size ya MB 73 tu. Inafanya kazi vema tu. Niliidownload kutoka kwa muhindi fulani huko Youtube. Sasa nikitafuta adobe nyingine naona ipo yenye size ya GB 1 na ushee hivi. Sasa naomba kuuliza, hii yangu ya MB 73 ni feki au tofauti na hii yenye size kubwa ni ipi?
Naomba kuwasilisha wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba link ya Adobe Ai latest, portable kama unayo