Highway restaurant (Dar Express) Korogwe huduma ni mbovu sana

Highway restaurant (Dar Express) Korogwe huduma ni mbovu sana

Ukitoka Davis Corner Unakwenda Shule Ya Msingi Halafu Unafika Abiola Huko Ni Buza Abiola Haa [emoji16]
Ndiyo Ndiyo Ya Kwenda Hadi Kwa Mpalange
Daah hii kwa Mpalange kumbe ni sehemu? Niliona clip mitandaoni demu akijinadi kutoa huduma ya kimapenzi ya kwa Mpalange, imekaaje hii??
 
Highway korogwe kwa sasa iko under EXTRA LUXURY COACH na sio dar express tena.
 
Daah hii kwa Mpalange kumbe ni sehemu? Niliona clip mitandaoni demu akijinadi kutoa huduma ya kimapenzi ya kwa Mpalange, imekaaje hii??
Mkuu
Umeninukuu Vibaya
Buza Abiola Ni Njiani Lakini Hiyo Barabara Inakufikisha Hadi Haya Maeneo:-
Airport, Kwa Mpalange, Mbagala, Kinyantira, Kibeberu, Kitunda, Mwanagati, Kivule

Haa😀😁😂
Kwa Mpalange Ndiyo Maarufu Halafu Ukiwa Abiola Kabla Ya Makangalawe Unaweza Kwenda Kwa Miguu Mpaka Kwa Mpalange
 
Mkuu
Umeninukuu Vibaya
Buza Abiola Ni Njiani Lakini Hiyo Barabara Inakufikisha Hadi Haya Maeneo:-
Airport, Kwa Mpalange, Mbagala, Kinyantira, Kibeberu, Kitunda, Mwanagati, Kivule

Haa[emoji3][emoji16][emoji23]
Kwa Mpalange Ndiyo Maarufu Halafu Ukiwa Abiola Kabla Ya Makangalawe Unaweza Kwenda Kwa Miguu Mpaka Kwa Mpalange
Kwa miguu?? Sio karibu kiivyo mkuu utoke kwa abiola uisake njiapanada ya mwinyi ule ile down uibuke kwa mama kibonge ndio uanze rough ile kuisaka kwa mparange inshot pana mwendo kama sio mtembeaji.
 
Kwa miguu?? Sio karibu kiivyo mkuu utoke kwa abiola uisake njiapanada ya mwinyi ule ile down uibuke kwa mama kibonge ndio uanze rough ile kuisaka kwa mparange inshot pana mwendo kama sio mtembeaji.
Kama Haupo Vema Kwenye Route Match Mbali
Lakini Wengine Hapo Wanatembea Tu
Japo Mbali
 
Mi huwa sipendi sana kulakula njiani. Yaani safari masaa 9 tu jitu linashindwa kuvumilia. Ila wanaume wa Tz jamani mbona aibuuuuu.
 
Hayo mambo ya kula kula njian ipo siku mtakuja jiarishia kwenye gari
 
Hayo mambo ya kula kula njian ipo siku mtakuja jiarishia kwenye gari
Nimelazimika kula msosi wa kwelikweli bufee la pale hotel ya KLM Mombo. Sahani moja 8,000/=.

Unajua kwanini? Nikifika Dar sipotezi muda, namfata manzi kule kwao Abiola. Namleta getto kwangu maeneo ya Tabata.

Sasa kwa vile amenimiss sana, anaweza omba game, endapo nitakua sijala nitazingua.
 
Highway korogwe kwa sasa iko under EXTRA LUXURY COACH na sio dar express tena.


Kwa hiyo Dar express siku hizi hawaingii highway?
Badala yake wanakula wapi?

Kiukweli kwa miaka mingi sana vyakula vya pale highway hotel ni vibaya sana havina radha Nzuri hata kidogo!

Nyama choma mbaya sijui inakuwa ni ya jana yake?!

Chips zimepooza sana , hata bufee ya chakula cha ndani siyo kitamu !

Watu wanakulaga tu kwa kuwa ndiyo sawa na kusema “msafiri kafiri”
 
Back
Top Bottom