kiletza
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 538
- 942
Miaka michache nyuma Highway restaurant ilikuwa sehemu nzuri sana kwa vyakula kwa wasafiri wa Kaskazini.
Ma bus mengi tu yalikuwa yanasimama pale achilia mbali ya mmiliki wa eneo Dar Express ila kwa sasa huduma ni mbaya sana, mazingira mabaya, kauli mbovu, vyakula vichache.
Bei ya chakula kubwa kulingana na ubora wa chakula na kiasi. Dar Express angelieni hili la sivyo magari yatakayo kuwa yaingia pale ni yenu tu tena huku abiria wakinyanyasika.