stoplight
Senior Member
- Mar 30, 2021
- 177
- 270
Habari zenu poleni na mihangaiko ya kila siku niende moja kwa moja kwenye Lengo nauza hiyo mashine ya kuoshea magari
☆Sifa zake:
》Inatumia umeme tu
》Ni mpya kabisa ipo kwenye box lake
》Pump yake ina nguvu ya pressure 150 Bars
》 PSI ya 2,300 Kwa nguvu ya hio pump.
》Inaweza kupump lita 400 za maji kwa lisaa limoja. Kwa hio ina nguvu balaa
Nauza kwa 1,000,000 tu karibuni sana mashine ipo Dar es Salam maeneo ya tegeta
Kwa mawasiliano:
+255 653 271 318 piga kawaida na WhatsApp
Karibuni sana