High heels were originally made for men...

High heels were originally made for men...

kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!

ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!

snowhite, nakumbuka enzi zetu tulivaa sana vile viatu vyenye soli ndefu kama ngazi saba mpaka nane hivi, na siyo kama hizi za kwenye hii picha chini, lol! Boflo alikuwa bado hajazaliwa enzi hizo!!!

men-in-women-high-heel-funny-fashion-style-image-pictures-3.jpeg.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!

ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!
Hahahahaaa snowhite nakumbuka enzi za mzee dah walikuwa wanatokelezea mbaya sana aisee lol:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!

ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!

snowhite Sipati Picha!
Toronto%20high%20heel%20march.jpg


Environics-Walk-a-Mile-in-Her-Shoes.jpg


326.jpg



​
 
staki kabisaaaaaaaa nikivunjika na umri huu?

mwenda tezi na omo Kaizerrrrr ah! af tumevurugwa!
kuna mtu anajifanya ye ndo nyumba ndogo anatuletea ukumbaff nyumba kubwa !kachezeaje kichapo cha maneno!ndo nip busy hukooo mi na King'asti tumenunua kesi!
 
Last edited by a moderator:
kaka i cant help photoing you on my high heels hahaha.
samahami lakini.
niko busy tunanyoosha small hausi isiyo na adabu. haijui gari inayokokotwa haiovateki?
cc Da Sophy
staki kabisaaaaaaaa nikivunjika na umri huu?
 
Last edited by a moderator:
sipati picha kigimbi cha mwanaume ndani ya mchuchumio dah hebu siku moja moja muwe mnakumbushia enzi zenu tuwaone
 
Back
Top Bottom