Au baba mzazi umkute na high heels
ha haaaa, lakini uliwahi kuvaa? kama nakuona vile!Umenikumbusha mbali mkubwa mwenzangu...
Ila binafsi sikuzipenda raizoni hata kidogo...
Mtu anatembea kama kaning'inizwa darini...
Babu DC!!
ha haaaa, lakini uliwahi kuvaa? kama nakuona vile!
nadhani wababa wengi hawakuzipenda ndo maana hazijarudi tena kwenye fashion
kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!
ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!
High heels were originally made for men, It was a sign of virility,
masculinity and high status.
Source:BBC News - Why did men stop wearing high heels?
hii umenikumbusha siku moja kuna mtu alikuja kwa kakangu akiwa amevaa viatu fulani (dar miaka ya karibuni)Kwa kweli sikuvaa,
Tatizo kubwa ni kwamba katika familia, ni baba tu alikuwa anaruhusiwa kuvaa viatu...wengine ukibahatika unavaa yale makobazi (tyres) kama ya wamasai......
Wenzio tulikuwa kwa vijijini bwana...
Babu DC!!
kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!
ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!
Boflo unamaanisha yale tuliyokuwa tunayaita masangogo!! wengine mastuli, wengine raisoni ili mradi mwanaume na pekosi lako au buga luu unapaisha halafu na kishati kimekubana na li afro shirazi umechana. Umelipaka liafro mafuta linakemakema weee!! Jamani tumetoka mbali sana!!
ahahahahhahahha die lehrerin, ich bin ich!
ahahahahhahahha die lehrerin, ich bin ich!
watawatafuta saaaaaaaaaana af ndo thithi tuliobalikia na ndo tushaisha tena!
ahahahahhahahah THEIR BAD!
kwi kwi kwi kwi!
yani hapa napata picha The Boss kavaa high heels
nyuma yake afuatiwe na Mtambuzi
kwa pembeni yupo Dark City
kwa mbele kuuuuuule anapita Kaizer
sijakaa vizuri nimwone watu8
mara hamad HorsePower huyu hapa
kabla sijabishana na macho yangu anakatiza SnowBall na mwenzie Asprin wakimkimbilia KakaKiiza na kisha Erickb52 awaulizie wanaenda wapi kabla BAK hajasema na ye anaenda huko huko!
ahahahahhahahhahahhahah sitaki mimi!
Huwiii platform!!awesome!!Nitanyoa na vinyweleo vya nywele za miguu!!lol ila na wewe nitakulete hiki hapa!kwi kwi kwi kwi!