kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,415
- 9,303
Watanilipa fidia kwa kweli maana sasa huo ni udhalilishaji, ubunge ntakosa lakini wao sitawaacha.Ushauri wangu, mnapo ingia Guest, hotel, saloon, mgahawa, mama ntilie yoyote inayowapa huduma ya faragha, angalia angalia kwenye ceiling board, kutani na pembeni mwa kitanda. Ukiona kidudu chochote ambacho hukielewi, kifunike taulo. Kinaweza kua ni kikamera kidogo. Watakusubiria unagombea ubunge ndio watatoa picha zako.