hivi mpaka camera iwekwe ndani ya chumba kabisa ambacho lengo lake ni mteja kupumzika, watakuwa wanataka nini hasa ?
ji
sidhani kama kuna guest houses ambazo zina tabia hizo, na kama zipo, basi watakuwa wamekulia tageti wewe wakuchafue!
NB; guest houses siku hizi si nyumba za wageni kama jina linavyosanifu.. bali zimekuwa ni nyumba za wenyeji kwa mara nyingi ambao wengi wao huwa wanazitumia kwa dhumuni la kuvunja amri ya sita na wake za watu, wanafunzi, wahudumu wa mabaa, wafanyakazi wa maofisini, machangu n.k