Hidden Cameras in the Guest houses

Hidden Cameras in the Guest houses

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
Hivi jamani, mlisha wahi kuwaza kua Guest house zinaweza kua na hidden Cameras?. Nakusudia kusema kua, wengi wetu tuna jiachia vya kutosha Kunako Guest house. Suppose they have hidden cameras in the rooms. Siwatakua wameingilia privacy zetu vibaya saaana. Ni mawazo tu!
 
Solution ni kuacha uzinzi kama mimi.
 
Solution ni kuacha uzinzi kama mimi.

Sometimes I go with my wives katika ratiba zetu za kutoka out, na kubadilisha mandhari. Si unajua moja ya sababu ya sex za ndoa kupoteza mvuto ni kutobadilisha mandhari ya malavi davi.
 
Mbona huwa tunafanya mabo ya kawaida sana tuu, si ni nyumba za kulala wageni tuu au
 
Mbona huwa tunafanya mabo ya kawaida sana tuu, si ni nyumba za kulala wageni tuu au

Aaaah! Mhhhhh! we acha tu. Wanapiga sarakasi kushinda zile za olympic.
 
Sometimes I go with my wives katika ratiba zetu za kutoka out, na kubadilisha mandhari. Si unajua moja ya sababu ya sex za ndoa kupoteza mvuto ni kutobadilisha mandhari ya malavi davi.

what a nice answer!sio kila anayeenda lodge/hotel ana malicious motives
 
Mkeo mpeleke hotelini bhana. vigest mtaleta kunguni nyumbani.

Tehe! tehe! Hotelini hua tunakula chakula tu, Guest house ndio tupata faragha. Sio kila kituo cha Mafuta ni SHELL.
 
Solution ni kuacha uzinzi kama mimi.

PTL.gif
 
Ushauri wangu, mnapo ingia Guest, hotel, saloon, mgahawa, mama ntilie yoyote inayowapa huduma ya faragha, angalia angalia kwenye ceiling board, kutani na pembeni mwa kitanda. Ukiona kidudu chochote ambacho hukielewi, kifunike taulo. Kinaweza kua ni kikamera kidogo. Watakusubiria unagombea ubunge ndio watatoa picha zako.
 
!
!
duh!kwa kutumia hela yangu vizuri huwaga naingia katika lodge mida ya saa sita mchana ili nikae mpaka kesho saa tatu, sasa si watakuwa wamechukua tamthiliya nzima?????
Yeeeeuwi
 
Mwenzangu hao my wives wako unaendaga nao wote kwa pamoja?
Sometimes I go with my wives katika ratiba zetu za kutoka out, na kubadilisha mandhari. Si unajua moja ya sababu ya sex za ndoa kupoteza mvuto ni kutobadilisha mandhari ya malavi davi.
 
Back
Top Bottom