Hichi kitendawili vipi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hichi kitendawili vipi jamani?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lady N, May 15, 2011.

 1. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwanafunzi: kitendawili...
  Wanafinzi: Tegaa.
  Mwanafunzi: nivue nguo nikupe utamu.
  Mwalimu: Mshenzi wewe acha kutukana!
  Mwanafunzi: mwalimu hata wewe hujui, jibu lake ni NDIZI!?
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  ahahahaa! hata mimi nilidhani huyo mwanafunzi anataka kumegwa.
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Ndizi jamani ndiiiiziiiii!
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hata wewe ulifikiri hivyo hahahaaa!
   
 5. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  imefanyaje tena, afu ni tamu kweli ujue!
   
 6. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkwaruzo 28th February 2011 02:24
  AM #1 JF Senior Expert
  Member Join Date : 21st
  February 2011
  Location : Mwisho wa
  Upepo
  Posts : 435
  Thanks: 11 Thanked 81 Times in 59
  Posts
  Rep Power : 21 In ze classrum Wakati wanaendelea
  kutoleana vitendawili,
  mwalimu ilimbidi atake
  kumzuiya mwanafunzi
  kabla ya kutenda
  utovu wa nidhamu lkn mwanafunzi ilimbidi
  atowe jibu kabla ya
  kuzuka tafrani.
  Ilikuwa kama hivi:
  Mwnfnz: Kitendawili
  WANAFUNZI: Tegaa Mwnfnz: Nivue nguo
  niwape Utamu
  MWALIMU: Mshenzi
  wewe acha kutukana
  Mwnfnz: Mwalimu hata
  we hujui, Jibu lake ni NDIZI ! Edit Post Reply Reply With Quote Wakumwitu 28th February 2011 02:33
  AM #2 Senior Member Join Date : 22nd
  January 2011
  Posts : 248
  Thanks: 36 Thanked 62 Times in 45
  Posts
  Rep Power : 21 Re: In ze classrum Hahahahaaaa.. kweli
  ukiimenya ndizi iliyoiva
  vizuri ni tamu sana. Like Reply Reply With Quote Thanks Mkwaruzo 28th February 2011 02:46
  AM
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ndiziiiiiiiiiiiii? kosa la utovu wa nidhamu bado liko palepale.............:dance::pound:
   
Loading...