Hi

habari, mie ni baba bhoke, msalimie rhobi na matiku, afu kafate zile ng'ombe kwa mzee Chacha Marwa.

Na matiko apeleke maziwa kwa mama ghati.
 
Alafu akitoka kwa Mama ghati, apitie kwa Mwita, amwambie mimi Gibore ninaumwa, wanikimbeze Nyamongo hosp.
 
na mwambie mama ghati alipe bili ya maziwa tulipe karo ya bhoke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…