Hi

I am a new member. I hope u ar al fine.

karibu,
ila moderator wa humu ni waonevu sana. Na kuna hao memba ambao majina yao yameandikwa kwa wino mwekundu na wa zambarao,
usijaribu kubishana nao hata kidogo. Wana veto power!
 
karibu,
ila moderator wa humu ni waonevu sana. Na kuna hao memba ambao majina yao yameandikwa kwa wino mwekundu na wa zambarao,
usijaribu kubishana nao hata kidogo. Wana veto power!

nishakutekenya haya sema yote
 
Kama unatoa hiii basi nami nakupa HAPPY NEWYEAR 2012. Mbona umechelewa kujiunga na JF. Natarajia utatoa michango mingi ya kutuongoza katika threads za mwaka huu. Ingawa siko katika uongozi nakupa "KARIBU SANA NA USIFICHE BUSARA ZAKO.":tongue:
 
Thats unfair.

wangekuwa wao fair kwa kumrudisha FF akatumikie ban yake ya miaka miwili, ili na mimi niendelee na yangu ya miezi minne.
Na nimejiridhisha kuwa wanafanya kazi kwa umoja hawa viumbe...
JF ina wenyewe bwana!
 
Back
Top Bottom